Mwamson
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 267
- 92
Wana JF nimeanza kuitangaza barabara hii ni kivutio ambacho kinavutia kwa maana kuwa inavutia.
Kwanza tunatakiwa kujua utalii ni kutoka sehemu moja kuelekea sehemu tofauti kwa nia ya kuona yaliyopo huko na kwamba binadamu anaweza kuvutiwa kuona na mambo mabaya na mazuri, ila mara nyingi tunapenda kuona mazuri kwa kuwa yanafurahisha lakini ukiyaona mabaya utaweza kushauri ama kufanya maboresho.
"HUKU KWETU MVUTI YOTE YAPO" tulishalia muda mrefu juu uozo (ubovu) wa barabara ya kutoka Mvuti mpaka Dondwe bila kusikilizwa, yaonekana mamlaka inatakiwa kukumbushwa yanayojiri bila kuchoka.
Nianze na mazuri: Ukishuka mvuti na anza safari ya barabara tajwa, pamoja ni mbovu utaona yafuatayo-uwekezaji wa maduka ya kawaida na vileo, viwanda vya tofari, kiwanda cha mafuta ya mashine, shule za serikali na binafsi, hifadhi ya msitu wa manispaa, machimbo ya mchanga pia kuna gereza la mvuti.
Mabaya: Wakati wa jua wagonjwa na wajawazito, wanafunzi na watumishi, watajua wenyewe huko waendako, mvua ikinyesha hakuna kutoka. 2024/2025 Watakuja!