MSIGWA ATAKUWA AMEWEHUKA YANI ANABISHANA NA MTENDAJI MKUU WA TANROADS... ASILIMIA SITA IMEWASHINDA WANASINGIZIA UPOTOSHAJI HAHAHAHATanzania ina wanasiasa wabaya sana kuwahi kutokea hapa duniani; yaani serikali mnataarifiwa uhalisia halafu mnakanusha wakati watu wanaona kwa macho hakuna kinachoendelea Tangu mwezi April 2021?
Ajali zimeongezeka kutokana na sakafu ya barabara kutolingana sambamba na ya zamani huku mapipa na uzio wa waya zikisababisha ajali zinazopelekea vilema hadi vifo lakini serikali inaendelea kukanusha!!!
Kila siku barabara hiyo hapakosi ajali sio chini ya nne kati ya Mbezi Mwisho na Kibamba wakati magari na mitambo karibia inapata kutu bado serikali inakanusha!!!!
Imefika mahali sasa waTanzania wakatae kutishwa na kauli zinazochochea ukosefu wa usalama wa maisha ya wananchi wasio na kosa kuhoji ni kwanini mradi hauendi kama ilivyokuwa mwanzo ambapo hatua kwa hatua walikuwa wanataarifiwa na wanaona kwa macho kinachofanyika kinachoakisi thamani ya pesa ya kodi yao.
*Wananchi wana haki ya kuhoji na msiwatishie tafadhali nchi ni yao na rasirilmali ni za kwao ninyi mmepewa dhamana ya muda tu, sio ya viongozi wa kisiasa; hivyo waheshimu uhuru wa maoni yao
Foleni zitawazibua ubongo
Acha kupost upuuzi.Shangilia sasa barabara imekwama
Hela inaliwa kakaKazi iliyobaki naiona si kubwa sana lakini muhimu sana. Busara zielekeze basi serikali kutoa pesa mapema mradi ukamilike. Hivi kile kipande cha barabara toka stendi ya Mabasi hadi barabara ya Morogoro imeshindikana kuweka lami hadi masika yaje? Au vipaumbele vinabadilika,halafu kwa faida ya nani? Ili iweje? Anayefaidika ikibaki vumbi ni nani?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Wewe zungu kukutu yaani unataka kutuaminisha kuwa huyu maushungi yako ni bora sana! Stupid!Huwezi kujenga barabara kwa kutegemea kupora pesa za watu kwa kuwabambika uhujumu uchumi Ili wanunue haki zao
Jinga wewe huna mawazo unafikiri kujenga nchi ni ujinga ujinga kama ndugu yako!Tatizo la mwenda zake hakuwa na vipaumbele
Anarukia rukia tu mambo
Mara SGR,Mara ndege,Mara Barabara,Mara bwawa
Kote huko kuna cost hela ndefu sana
Alikuwa anatafuta misifa tu.
Kwanza hio Barbara ya morogoro road kawavunjia masikini wengine Sana nyumba zao bila fidia maana Barbara imewakuta hapo.
Kafa hajaona hata mmoja ukikamilika
Hela zenyewe za dhuruma na kupora watu
Roho mbaya haijengi
Hela ya tozo kwenye miamala ya simu inaenda wapi?Hela si ulikuwa wewe na mwenda zake? Mmeiacha nchi mfilisi na mikopo kibao mcliochukua huku nusu yake ikiishia mifukoni mwenu
Umeeleza vizuri mkuuWachezee vitu vyote ila sio miradi ya barabara, umeme wa uhakika na maji.
Ndio njia pekee itakayovutia uwekezaji wa viwanda mijini na vijijini kwa kufungua access ya nchi na kusaidia wakulima kuuza mazao yao na kutoa ajira.
Vinginevyo miaka ijayo machinga watatandika bidhaa zao mpaka nje ya gate la Ikulu, hakuna namna.
Hiyo miradi ya infrastructures faida zake ni long term akitaka kusikiliza hizi hadithi za hawa watu wanaosifia ujinga sijui mama kaleta billion 500 za uwekezaji ndani ya week and so forth with nonsense, mama ataendesha nchi ambayo hali ya umaskini inaongezeka siku hadi siku.
Miradi ya miundombinu hiyo ni adhabu ambayo nchi lazima ipitie.
Tukitekeleza hii miradi mnadhani mikopo ya chanjo tutailipa vipi? Awamu hii yote tunalipa mikopo ya Chanjo tu, ni chanjo na tozo kwa kwenda mbele, mikopo ya chanjo lazima ilipwe!!!Si hiyo tu hata pale ubungo ilipokuwepo stand ya mabasiujenzi ulikiwa ukienda kwa kasi sana ila naona umekoma, Barabara za mitaani hatuoni ten