Barabara ya Polisi, Kibamba CCM ni changamoto, hali ni mbaya

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Wakazi wa Kibamba CCM, kuhusu "Barabara ya Police" imekuwa changamoto, yaani gari haziwezi kupanda kabisa tunaambiwa Mkandarasi ameshasaini Mkataba lakini hatuoni kinachoendele na mvua ikinyesha hali ndio inakuwa mbaya zaidi.

Tumekuwa tunaripoti lakini wanachofanya ni kuleta michanga, mvua ikinyesha mambo yanazidi kuwa yake yale, hapa inatakiwa ujenzi wa kueleweka.
photo_2024-04-05_10-06-45 (2).jpg

Mmejenga bila kufuata masterplan huko...

Tatizo la sehemu nyingi kwa Dar
 
Wakazi wa Kibamba CCM, barabara ya Police imekuwa changamoto, yaani gari haziwezi kupanda kabisa tunaambiwa Mkandarasi ameshasaini Mkataba lakini hatuoni kinachoendele na mvua ikinyesha hali ndio inakuwa mbaya zaidi.

Tumekuwa tunaripoti lakini wanachofanya ni kuleta michanga, mvua ikinyesha mambo yanazidi kuwa yake yale, hapa inatakiwa ujenzi wa kueleweka.

Ujenzi holela ndio mmefika hapo, hiyo sio barabara ni njia ya mtaani
 
Mmejenga kiholelaholela huko hayo ndy matokeo yake

Ova
 
Kibamba hospitali kuelekea upande wa kanisa katoliki lile jipya hali ndiyo mbaya zaidi.....

Kifupi barabara za mitaani za kibamba nzima hali ni mbaya sana..
 
Kumbe kuna mitaa huko

Ova
 
Kaka, dar imekuwa populated kila sehemu...

Kinacholeta shida ni kwamba raia wako mbele kimaendeleo ila serikali ndo iko nyuma..
Kweli kabisa

Maana huko utakuta mtu kesho kakujengea mbele ya kiwanja chako hakuna kuachiana nafasi

Ova
 
Wakazi wa Kibamba CCM, kuhusu "Barabara ya Police" imekuwa changamoto, yaani gari haziwezi kupanda kabisa tunaambiwa Mkandarasi ameshasaini Mkataba lakini hatuoni kinachoendele na mvua ikinyesha hali ndio inakuwa mbaya zaidi.

Tumekuwa tunaripoti lakini wanachofanya ni kuleta michanga, mvua ikinyesha mambo yanazidi kuwa yake yale, hapa inatakiwa ujenzi wa kueleweka.
Kibamba polis Iko maeneo gani kwq pale kibamba,
 
Back
Top Bottom