Wakazi wa Kibamba CCM, barabara ya Police imekuwa changamoto, yaani gari haziwezi kupanda kabisa tunaambiwa Mkandarasi ameshasaini Mkataba lakini hatuoni kinachoendele na mvua ikinyesha hali ndio inakuwa mbaya zaidi.
Tumekuwa tunaripoti lakini wanachofanya ni kuleta michanga, mvua ikinyesha mambo yanazidi kuwa yake yale, hapa inatakiwa ujenzi wa kueleweka.
Kumbe kuna mitaa hukoKibamba hospitali kuelekea upande wa kanisa katoliki lile jipya hali ndiyo mbaya zaidi.....
Kifupi barabara za mitaani za kibamba nzima hali ni mbaya sana..
Kaka, dar imekuwa populated kila sehemu...Kumbe kuna mitaa huko
Ova
Kweli kabisaKaka, dar imekuwa populated kila sehemu...
Kinacholeta shida ni kwamba raia wako mbele kimaendeleo ila serikali ndo iko nyuma..
Kibamba polis Iko maeneo gani kwq pale kibamba,Wakazi wa Kibamba CCM, kuhusu "Barabara ya Police" imekuwa changamoto, yaani gari haziwezi kupanda kabisa tunaambiwa Mkandarasi ameshasaini Mkataba lakini hatuoni kinachoendele na mvua ikinyesha hali ndio inakuwa mbaya zaidi.
Tumekuwa tunaripoti lakini wanachofanya ni kuleta michanga, mvua ikinyesha mambo yanazidi kuwa yake yale, hapa inatakiwa ujenzi wa kueleweka.