Gobole
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,806
- 4,670
Lilikuaje?Acha kujitoa ufahamu,kwani daraja la busisi ilikuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lilikuaje?Acha kujitoa ufahamu,kwani daraja la busisi ilikuaje?
Kupanga ni kuchagua mkuu...hakuna mtu anaweza kufanya kila kitu kila mahali kwa wakati mmoja,hatuna resources hizo...lazima zipo zitakazo anza na zitakazo chelewa...kila kitu kina muda wake...ww unadhani ktk ya hilo barabara na daraja la wami kipi kingeanza?au io na kigoma nyakanazi kipi kingeanza..now that ipo kwenye mchakato tuwe positive tuache kulalamika.
Pakiachwa kama palivyo lawama,pangijengwa pia kuna lawama kutoka kwa Chadema,wanahoji kwa nini JPM anafanya maendeleo ya vitu na sio watu.yani awataki miundimbinu kama barabara zijengwe.
Mimi sitoki povu...tunaeleweshana tu km ni 200m tu ndo zinashida na hazijafanyiwa marekebisho then hapo siwezi wajibia probably wanasubiri watumbuliwe km kule lindi.Hivi mkuu umesoma uzi lakini au povu tu? 90km ni mbaya zote kabisa, lakini sehemu 3 zenye takribani 200m ndizo zinazoleta maafa zaidi na kuifanya kutopitika hata sasa hivi kipindi cha kiangazi.
Serikali ipo tanroads wapo hakuna hata kuwajibika.
Maswali uliyouliza ingependeza kama ungeniuliza baina ya zile za Chatto na ile international airport pendwa kule kipi kingeanza baina yale madege, barabara za Chatto, flyover, daraja la salenda, nk ningekujibu vyema zaidi.
Kweli kupanga ni kuchagua nimeona mwingine kasema barabara hiyo haina umuhimu kwani wapiga kura huko ni wachache hali kodi lukuki serikali inachukua.
Pakiachwa kama palivyo lawama,pangijengwa pia kuna lawama kutoka kwa Chadema,wanahoji kwa nini JPM anafanya maendeleo ya vitu na sio watu.yani awataki miundimbinu kama barabara zijengwe.
Mimi sitoki povu...tunaeleweshana tu km ni 200m tu ndo zinashida na hazijafanyiwa marekebisho then hapo siwezi wajibia probably wanasubiri watumbuliwe km kule lindi.
Suala siyo kura, suala ni umuhimu wa barabara yenyewe. Acheni siasa kwenye mambo ya kitaifa kama hayaAnyway mleta mada target yako ya hiyo barabara haina wapiga kura wengi pia watumiaji wakuu Ni madereva wa malori ambao Sio wapiga kura wa eneo Hilo na kura zao chache tu is not a big issue as far as votes are concerned
Suala siyo kura, suala ni umuhimu wa barabara yenyewe. Acheni siasa kwenye mambo ya kitaifa kama haya
Ndiyo nimefika ? Dogo nimepita hapo enzi hizo na hata tena na tena. Hizo anga za Rusumo, Benaco, Ngara, Biharamulo, Nyakanazi mpaka kule Mwoyowosi nimechafua sana. Labda mimi ndiyo nikufundishe wewe mitaa ya Tanzania kutokea Mtukula, pita huko Kakonko mpaka Mbamba Bay. Nazijua hizo sehemu dogo na nazijua kiundani sana.Ndiyo umefika Tanzania sasa tokea anga za juu?
Ndiyo nimefika ? Dogo nimepita hapo enzi hizo na hata tena na tena. Hizo anga za Rusumo, Benaco, Ngara, Biharamulo, Nyakanazi mpaka kuloe Mwoyowosi nimechafua sana. Labda mimi ndiyo nikufundishe wewe mitaa ya Tanzania kutokea Mtukula, pita huko Kakonko mpaka Mbamba Bay. Nazijua hizo sehemu dogo na nazijua kiundani sana.
Anyway, lengo langu ni kukupa taarifa tu kwamba umuhimu wa hiyo barabara ni mkubwa sana kuliko maccm wanavyodhani. Na kama tungekuwa serious hii barabara pengine ingekuwa ya pili au ya tatu kwa uzuri Tanzania.
Period
PAMOJA SANA MKUUNimeandika nyuzi nyingi sana kuhusu barabara hii kutokana na umuhimu wake.
Kwamba unautambua umuhimu wake tuko pamoja.
Kwamba uko na taabu na ma CCM kuhusiana na barabara hii tuko pamoja.
Nilidhani u mmoja wa na CCM yasiyoona umuhimu wa barabara hii.
Tafadhali rejea title ya mada bandiko lako na bandiko langu.
Sorry for any oversight. Bottom line kwa barabara hii na mengine mengi mtu analiwa kichwa come Oct 28.
Mimi nimekupa updates...hayo mapovu mengine ya kisiasa ni yako.Palitolewa 12Bn/- kuikarabati hii barabara juzi juzi. Kwamba kazi ifanyike mchana usiku.
Hakuna la maana lililofanyika. Mambo mawili hii pesa haikutolewa au kama kawaida imepigwa au ndiyo ile wanayolipwa kina 'suchu' majukwaani.
Ukarabati kichekesho Rusahunga - Rusumo
Jiwe aliikacha barabara hii kama alivyofanya majaliwa juzi.
Mimi nimekupa updates...hayo mapovu mengine ya kisiasa ni yako.