Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kumekua na sababu nyingi kwamba kuanzia ifakara, malinyi mpaka songea kuna mito mingi sana na hii pia kutoka ifakara mpaka njombe ni muhimu sana ikajengwa kwa lami ili kulifungua hili eneo
Uwezo wa kuijenga tunao kama nchi kama tukiamua
Mfano awamu ya kwanza ni kuanza na madaraja, baada ya kumaliza madaraja inafuata kuweka lami
Naamini kutakuwa na route ya kutokoka songea mpaka dar kupitia malinyi, kutoka njombe kupitia malinyi mpaka dar kwa kufanya hivi kutafungua kiuchumia haya maeneo ambayo yana-potential kubwa sana
Route ya kuanzia songea kupitia masasi au kupitia iringa ni ndefu sana ni vizuri ikafupishwa naamini uwezo huo kama nchi tunao