Barabara ya Songea kupitia Malinyi, mpaka Ifakara itajengwa kwa kiwango cha lami nikiwa Rais wa Tanzania

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Kumekua na sababu nyingi kwamba kuanzia ifakara, malinyi mpaka songea kuna mito mingi sana na hii pia kutoka ifakara mpaka njombe ni muhimu sana ikajengwa kwa lami ili kulifungua hili eneo

Uwezo wa kuijenga tunao kama nchi kama tukiamua
Mfano awamu ya kwanza ni kuanza na madaraja, baada ya kumaliza madaraja inafuata kuweka lami

Naamini kutakuwa na route ya kutokoka songea mpaka dar kupitia malinyi, kutoka njombe kupitia malinyi mpaka dar kwa kufanya hivi kutafungua kiuchumia haya maeneo ambayo yana-potential kubwa sana

Route ya kuanzia songea kupitia masasi au kupitia iringa ni ndefu sana ni vizuri ikafupishwa naamini uwezo huo kama nchi tunao
 
Mito kwenye hilo eneo ni kikwazo ila inawezekana kukajengwa madaraja makubwa na ya kisasa na lami
 
Kumekua na sababu nyingi kwamba kuanzia ifakara, malinyi mpaka songea kuna mito mingi sana na hii pia kutoka ifakara mpaka njombe ni muhimu sana ikajengwa kwa lami ili kulifungua hili eneo

Uwezo wa kuijenga tunao kama nchi kama tukiamua
Mfano awamu ya kwanza ni kuanza na madaraja, baada ya kumaliza madaraja inafuata kuweka lami

Naamini kutakuwa na route ya kutokoka songea mpaka dar kupitia malinyi, kutoka njombe kupitia malinyi mpaka dar kwa kufanya hivi kutafungua kiuchumia haya maeneo ambayo yana-potential kubwa sana

Route ya kuanzia songea kupitia masasi au kupitia iringa ni ndefu sana ni vizuri ikafupishwa naamini uwezo huo kama nchi tunao
yani sio hivyo tu, kunahitajika njia kubwa ya kutoka kisarawe kwenda maeneo ya eidha kidunda morogoro au karibu na bwawa la nyerere, kisha kwenda kisaki morogoro, kusini mwa milima uluguru, kisha kutoboa hadi mikumi, (hii njia itafuatana na reli ya tazara) itakuwa tuna shortcut ya kutoka dare kwenda Iringa, njombe na hata songea, watu hawatozunguka hadi morogoro mjini yani wakifika mikumi wanachepuka wanaingia pori kwa pori hadi bwawa la nyerere wanaingia dar kupitia kisarawe

mbali na hiyo kunahitajika barabara pia ya kutoka liwale kwenda ifakara, watu wa lindi na mtwara wakitaka kwenda dodoma, morogoro au iringa hawana haja ya kuzungukia songea au dar, wawe wanatoboa kupitia pori la nyerere
 
Baba baba huyoo

Baba baba huyooo

Baba baba baba huyoooooo

Mama njo umuone baba katoka shambani na mkun... Wa ndizi

Hapo juu ni (mkungu)
 
Sahii afu ni short lakini jamaa wamelala
1000033145.png
 
Mm natamani ifakara iwe mkoa ...mambo mengi yatajijenga kwa bajeti za ndani
 
Kumekua na sababu nyingi kwamba kuanzia ifakara, malinyi mpaka songea kuna mito mingi sana na hii pia kutoka ifakara mpaka njombe ni muhimu sana ikajengwa kwa lami ili kulifungua hili eneo

Uwezo wa kuijenga tunao kama nchi kama tukiamua
Mfano awamu ya kwanza ni kuanza na madaraja, baada ya kumaliza madaraja inafuata kuweka lami

Naamini kutakuwa na route ya kutokoka songea mpaka dar kupitia malinyi, kutoka njombe kupitia malinyi mpaka dar kwa kufanya hivi kutafungua kiuchumia haya maeneo ambayo yana-potential kubwa sana

Route ya kuanzia songea kupitia masasi au kupitia iringa ni ndefu sana ni vizuri ikafupishwa naamini uwezo huo kama nchi tunao
Lini, tumechelewa Sana . Sema kama unagombea Mwaka huu.
 
Mm natamani ifakara iwe mkoa ...mambo mengi yatajijenga kwa bajeti za ndani
Mkoa kwa Dunia ya sasa? Gharama za kuendesha mkoa nafikiri ungesema heavy industrial na small industrial vijengwe kwa wingi kusadia uchumi.
 
yani sio hivyo tu, kunahitajika njia kubwa ya kutoka kisarawe kwenda maeneo ya eidha kidunda morogoro au karibu na bwawa la nyerere, kisha kwenda kisaki morogoro, kusini mwa milima uluguru, kisha kutoboa hadi mikumi, (hii njia itafuatana na reli ya tazara) itakuwa tuna shortcut ya kutoka dare kwenda Iringa, njombe na hata songea, watu hawatozunguka hadi morogoro mjini yani wakifika mikumi wanachepuka wanaingia pori kwa pori hadi bwawa la nyerere wanaingia dar kupitia kisarawe

mbali na hiyo kunahitajika barabara pia ya kutoka liwale kwenda ifakara, watu wa lindi na mtwara wakitaka kwenda dodoma, morogoro au iringa hawana haja ya kuzungukia songea au dar, wawe wanatoboa kupitia pori la nyerere
Naona Shida ni mikataba ya kimataifa ambayo inakataza kupitisha lami kwenye hifadhi... Ukiangalia Liwale sehemu Kubwa ni hifadhi ya misitu na mbuga ya wanyama
 
Mm ningekuwa Rais hilo enro ningeweka reli ya umeme a.k.a mwendokasi. Pia nigekata katika bonde la kilombero niwarudishie wakulima.
 
Naona Shida ni mikataba ya kimataifa ambayo inakataza kupitisha lami kwenye hifadhi... Ukiangalia Liwale sehemu Kubwa ni hifadhi ya misitu na mbuga ya wanyama
Ndo matokeo ya kutokua na financial freedom kama nchi
 
Mkuu naunga mkono hoja yako!

Nilidhani barabara husika ilisha jengwa kwani nimewahi sikia serikali ikieleza kuwa fedha za kutekeleza mradi husika.
kama kuna sehemu ambayo inasababisha maendeleo yadumae Afrika ni miundombinu ya barabara na umeme. hata uwe na mipango mizuri kiasi gani kama eneo halifikiki au halina umeme kamwe hauwezi kuendelea. Miongoni mwa sababu zilizosababisha china na Vietnam zifanikiwe kuwa na maendeleo vijijini ni umeme na miundombinu ya usafiri.
Kila kijiji kinapaswa kiwe kimeunganishwa na umeme na barabara ya rami. Wilaya zote zinapaswa ziwe zimeungana kwa rami.

Lakini kwa sababu tupo nyuma sana kwa sasa kipaumbele cha serikali kinapaswa kuwa ni kuiunganisha mikoa yeo inayogusana kwa rami. Kwa muktadha huu, Mkoa wa Morogoro unatakiwa kuungana kwa rami na mikoa ya Lindi, Ruvuma, Iringa, Singida, Kisarawe, tanga na shinyanga. kadhalika Dodoma inapaswa kuwa hub ya taifa kwenda kaskazini, mashariki na ziwa tanganyika.

Serikali ikitaka ipendwe inatakiwa isiwe na kigugumizi katika kujenga barabara na umeme kila kona kwani hii ndio njia ya uhakika ya serikali kuwashika mkono masikini.
 
Back
Top Bottom