Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
yani sio hivyo tu, kunahitajika njia kubwa ya kutoka kisarawe kwenda maeneo ya eidha kidunda morogoro au karibu na bwawa la nyerere, kisha kwenda kisaki morogoro, kusini mwa milima uluguru, kisha kutoboa hadi mikumi, (hii njia itafuatana na reli ya tazara) itakuwa tuna shortcut ya kutoka dare kwenda Iringa, njombe na hata songea, watu hawatozunguka hadi morogoro mjini yani wakifika mikumi wanachepuka wanaingia pori kwa pori hadi bwawa la nyerere wanaingia dar kupitia kisaraweKumekua na sababu nyingi kwamba kuanzia ifakara, malinyi mpaka songea kuna mito mingi sana na hii pia kutoka ifakara mpaka njombe ni muhimu sana ikajengwa kwa lami ili kulifungua hili eneo
Uwezo wa kuijenga tunao kama nchi kama tukiamua
Mfano awamu ya kwanza ni kuanza na madaraja, baada ya kumaliza madaraja inafuata kuweka lami
Naamini kutakuwa na route ya kutokoka songea mpaka dar kupitia malinyi, kutoka njombe kupitia malinyi mpaka dar kwa kufanya hivi kutafungua kiuchumia haya maeneo ambayo yana-potential kubwa sana
Route ya kuanzia songea kupitia masasi au kupitia iringa ni ndefu sana ni vizuri ikafupishwa naamini uwezo huo kama nchi tunao
Lini, tumechelewa Sana . Sema kama unagombea Mwaka huu.Kumekua na sababu nyingi kwamba kuanzia ifakara, malinyi mpaka songea kuna mito mingi sana na hii pia kutoka ifakara mpaka njombe ni muhimu sana ikajengwa kwa lami ili kulifungua hili eneo
Uwezo wa kuijenga tunao kama nchi kama tukiamua
Mfano awamu ya kwanza ni kuanza na madaraja, baada ya kumaliza madaraja inafuata kuweka lami
Naamini kutakuwa na route ya kutokoka songea mpaka dar kupitia malinyi, kutoka njombe kupitia malinyi mpaka dar kwa kufanya hivi kutafungua kiuchumia haya maeneo ambayo yana-potential kubwa sana
Route ya kuanzia songea kupitia masasi au kupitia iringa ni ndefu sana ni vizuri ikafupishwa naamini uwezo huo kama nchi tunao
Mkoa kwa Dunia ya sasa? Gharama za kuendesha mkoa nafikiri ungesema heavy industrial na small industrial vijengwe kwa wingi kusadia uchumi.Mm natamani ifakara iwe mkoa ...mambo mengi yatajijenga kwa bajeti za ndani
Naona Shida ni mikataba ya kimataifa ambayo inakataza kupitisha lami kwenye hifadhi... Ukiangalia Liwale sehemu Kubwa ni hifadhi ya misitu na mbuga ya wanyamayani sio hivyo tu, kunahitajika njia kubwa ya kutoka kisarawe kwenda maeneo ya eidha kidunda morogoro au karibu na bwawa la nyerere, kisha kwenda kisaki morogoro, kusini mwa milima uluguru, kisha kutoboa hadi mikumi, (hii njia itafuatana na reli ya tazara) itakuwa tuna shortcut ya kutoka dare kwenda Iringa, njombe na hata songea, watu hawatozunguka hadi morogoro mjini yani wakifika mikumi wanachepuka wanaingia pori kwa pori hadi bwawa la nyerere wanaingia dar kupitia kisarawe
mbali na hiyo kunahitajika barabara pia ya kutoka liwale kwenda ifakara, watu wa lindi na mtwara wakitaka kwenda dodoma, morogoro au iringa hawana haja ya kuzungukia songea au dar, wawe wanatoboa kupitia pori la nyerere
Ndo matokeo ya kutokua na financial freedom kama nchiNaona Shida ni mikataba ya kimataifa ambayo inakataza kupitisha lami kwenye hifadhi... Ukiangalia Liwale sehemu Kubwa ni hifadhi ya misitu na mbuga ya wanyama
Watu hawajali kabisa ndo inachoumizaSahii afu ni short lakini jamaa wamelalaView attachment 3429331
Hizo ni siasaNakumbuka Serikali ilishaini mikataba ya ujenzi wa hii barabara, labda walipo mikoa hiyo watuambie kama kuna Mkandarasi siteView attachment 3429427View attachment 3429428View attachment 3429429
View attachment 3429433
Bado hatujachelewaLini, tumechelewa Sana . Sema kama unagombea Mwaka huu.
Sasa mpaka 2030 au 2035? Kama sio 2025Bado hatujachelewa