Barabara ya Tabata Mawenzi ina mashimo ya kutisha, magari yote mwezi ujao lazima yafurike gereji

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kwa magari yanayopita hapo daily, next month andaeni bajeti ya Shockabsorbers, ball joints na bushes za aina mbali mbali.

Kuhusu picha mi nimeona aibu kupiga picha, mwenye ujasiri wa kupiga picha aende akapige mwenyewe.
 
Barabara zote za DAR zimekufa, mwezi February nilipita barabara ya kitunda -kivule hii barabara inaongoza Kwa ubovu Kwa hapa DAR kama kuna sehemu yenye mateso ya barabara mbovu nahisi kitunda inaongoza
Hali ni ni mbaya sana, na mvua ndio zinataka kuanza tena
 
Nawaonea huruma wenye magari

Ova
 
Kwa magari yanayopita hapo daily, next month andaeni bajeti ya Shockabsorbers, ball joints na bushes za aina mbali mbali.

Kuhusu picha mi nimeona aibu kupiga picha, mwenye ujasiri wa kupiga picha aende akapige mwenyewe.
France kwa Wakazi wa Tabata hali ya sasa inatisha.
Barabara ya Vingunguti kuipata Nyerere Road imefungwa.
Barabara ya Segerea - Stakishari Nyerere Road imefungwa.
External, Majichumvi, Kisukuru to Kinyerezi huko kwa Masilingi kuna Mahandaki.
Bima, Mawenzi, Kimanga kwenda Kisukuru ni maajabu kwa mashimo utazan uko machimbo ya Kifusi.
Ukisema unyooshe upite Segerea kuitafuta Kinyerezi ni Jehanamu hiyo foleni utajuta.
Kwakweli Tabata imekuwa chungu and nobody cares poleni wakazi wa huko.
France tafuteni Mbunge wa maaana siyo yule Dada MHAYA mlimtuma Bungeni akaenda kudanga hadi akafumaniwa na Mumewe.
 
Ina maana kutoka segerea Hadi kinyerezi kuna foleni sikuhizi? Hiyo barabara nimepita miaka 3 nyuma na ilikuwa bonge moja ya shortcut
 
Kwakweli hakuna amahala pako salama kwa Dar kila mahala ni majanga makubwa hata kwetu kibamba ni hatari sana ukishatoka njia kubwa ya lami hizo za kwenda majumbani ni changamoto kubwa sana.
Kuna hii ya Mbezi kwenda msumi sasa Dala dala zote zinapitia kibamba chama kwenda msumi. Hatari kubwa sana. Nafikiri serekali ya mkoa ingalituma kikosi kazi usiku na mchana kupambana na hali ilivyoko badala ya kukaa maofisini na kutoa matamko tu.
Hapo bado na mafuta yame panda bei duh!.
 
France kwa Wakazi wa Tabata hali ya sasa inatisha.
Barabara ya Vingunguti kuipata Nyerere Road imefungwa.
Barabara ya Segerea - Stakishari Nyerere Road imefungwa.
External, Majichumvi, Kisukuru to Kinyerezi huko kwa Masilingi kuna Mahandaki.
Bima, Mawenzi, Kimanga kwenda Kisukuru ni maajabu kwa mashimo utazan uko machimbo ya Kifusi.
Ukisema unyooshe upite Segerea kuitafuta Kinyerezi ni Jehanamu hiyo foleni utajuta.
Kwakweli Tabata imekuwa chungu and nobody cares poleni wakazi wa huko.
France tafuteni Mbunge wa maaana siyo yule Dada MHAYA mlimtuma Bungeni akaenda kudanga hadi akafumaniwa na Mumewe.
Hivi Mbunge wetu yule aliyepewa talaka anaitwa nani tena?!
 
Kero nyingi Sana Dar es salaam lakini wapuuzi wanasifu kuwa amefanya kazi nzuri
 
Back
Top Bottom