FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hali ni ni mbaya sana, na mvua ndio zinataka kuanza tenaBarabara zote za DAR zimekufa, mwezi February nilipita barabara ya kitunda -kivule hii barabara inaongoza Kwa ubovu Kwa hapa DAR kama kuna sehemu yenye mateso ya barabara mbovu nahisi kitunda inaongoza
France kwa Wakazi wa Tabata hali ya sasa inatisha.Kwa magari yanayopita hapo daily, next month andaeni bajeti ya Shockabsorbers, ball joints na bushes za aina mbali mbali.
Kuhusu picha mi nimeona aibu kupiga picha, mwenye ujasiri wa kupiga picha aende akapige mwenyewe.
Ina maana kutoka segerea Hadi kinyerezi kuna foleni sikuhizi? Hiyo barabara nimepita miaka 3 nyuma na ilikuwa bonge moja ya shortcutFrance kwa Wakazi wa Tabata hali ya sasa inatisha.
Barabara ya Vingunguti kuipata Nyerere Road imefungwa.
Barabara ya Segerea - Stakishari Nyerere Road imefungwa.
External, Majichumvi, Kisukuru to Kinyerezi huko kwa Masilingi kuna Mahandaki.
Bima, Mawenzi, Kimanga kwenda Kisukuru ni maajabu kwa mashimo utazan uko machimbo ya Kifusi.
Ukisema unyooshe upite Segerea kuitafuta Kinyerezi ni Jehanamu hiyo foleni utajuta.
Kwakweli Tabata imekuwa chungu and nobody cares poleni wakazi wa huko.
France tafuteni Mbunge wa maaana siyo yule Dada MHAYA mlimtuma Bungeni akaenda kudanga hadi akafumaniwa na Mumewe.
Usijiroge kuipita siku za kazi hasa mida ya jioni.Ina maana kutoka segerea Hadi kinyerezi kuna foleni sikuhizi? Hiyo barabara nimepita miaka 3 nyuma na ilikuwa bonge moja ya shortcut
Hivi Mbunge wetu yule aliyepewa talaka anaitwa nani tena?!France kwa Wakazi wa Tabata hali ya sasa inatisha.
Barabara ya Vingunguti kuipata Nyerere Road imefungwa.
Barabara ya Segerea - Stakishari Nyerere Road imefungwa.
External, Majichumvi, Kisukuru to Kinyerezi huko kwa Masilingi kuna Mahandaki.
Bima, Mawenzi, Kimanga kwenda Kisukuru ni maajabu kwa mashimo utazan uko machimbo ya Kifusi.
Ukisema unyooshe upite Segerea kuitafuta Kinyerezi ni Jehanamu hiyo foleni utajuta.
Kwakweli Tabata imekuwa chungu and nobody cares poleni wakazi wa huko.
France tafuteni Mbunge wa maaana siyo yule Dada MHAYA mlimtuma Bungeni akaenda kudanga hadi akafumaniwa na Mumewe.
Mwanangu ile pisi hata Mello akiangaliwa na lile jicho hachomoi, kutoa code nje nje acha tu inatoshaHivi Mbunge wetu yule aliyepewa talaka anaitwa nani tena?!
Duuh, sijawahi kumsikia bungeni.., sijui shida nnMwanangu ile pisi hata Mello akiangaliwa na lile jicho hachomoi, kutoa code nje nje acha tu inatosha