Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Mimi ni mpitaji wa barabara hii kila siku.
Tokea walipojenga hiyo barabara wale jamaa zetu wa KONOIKE ya Japan, mwaka 2012, pamejitokeza tatizo kubwa la maji ya mvua kubwa kupita maeneo kadhaa.
TANROADS ndiyo wasimamizi wa hii kazi lakini wako kama mbumbumbu wasiojua madhara ya baadaye.
Hii tunatoa ni tahadhari tu.
Tokea walipojenga hiyo barabara wale jamaa zetu wa KONOIKE ya Japan, mwaka 2012, pamejitokeza tatizo kubwa la maji ya mvua kubwa kupita maeneo kadhaa.
- Eneo la Makutano ya barabara ya Goba /Bagamoyo maji hujaa sana
- Eneo la Interchic/Art Gallery maji hujaa na kufurika
- Eneo la makutano barabara ya Salasala/Bagamoyo maji hujaa na kufurika
- Eneo la kiwanda cha Raffia bags maji hufurika
TANROADS ndiyo wasimamizi wa hii kazi lakini wako kama mbumbumbu wasiojua madhara ya baadaye.
Hii tunatoa ni tahadhari tu.