BRT ubungo kimara wanaongeza lane ziwe nne kila upande, kwanini hili lisifanyike na mwenge tegeta?
Tutajikuta tunarudia yale yale ya Ubungo kimara yanayofanyika sasa hivi na yanagharama za kuharibu miundombinu iliyopo na muda, tujifunze walau malengo ya muda mrefu kwenye miradi mepesi kama hii ya barabara...tunakwama wapi?
Katika Engineering moja ya kazi nyepesi kabisa ni pamoja na ujenzi kwa ujumla ikiwamo wa barabara!
Hapa Tanroads ndio mlitakiwa muoneshe uwezo wenu wa designing, execution na ufanisi, now we know wajibikeni!