Barabara ya Watumwa Ujiji-Kigoma hadi Bagamoyo

Ukristo usingeingia tanzagiza, hata wewe siajabu ungezaliwa utumwani na labda ungekuwa bado mtumwa pia kwani nikikuangalia wewe siyo mwarabu …
 
Bagamoyo ni historia nzuri namna uislam ulivyoshiriki kuuza watumwa wa kiafrika.Uislam na utumwa ni sawa na uji na mgonjwa.
Chukua mistari ya bible kuhusu utumwa uelimike,ukimaliza ntakupa ya Quran kupinga utumwa
 
Attachments

  • FB_IMG_1720978172840.jpg
    FB_IMG_1720978172840.jpg
    32.5 KB · Views: 7
Ukristo usingeingia tanzagiza, hata wewe siajabu ungezaliwa utumwani na labda ungekuwa bado mtumwa pia kwani nikikuangalia wewe siyo mwarabu …
Kwamba ukristu unapinga utumwa?
Lev 25:44-46, Exodus 21:7-8,deut 21:10-14,exoduy21:20-21,1peter 2:18,1timothy 6:1, Titus 2:9
 
Ukristo ulikomesha biashara ya Utumwa hapa kwetu iliyokuwepo kwa karne nyingi chini ya Uislamu, bila ya Ukristo mimi na wewe ( kama wewe ni mtu mweusi) siajabu tungezaliwa utumwani leo hii, wanzanzibari weusi (karibia) wote ni mzao wa utumwa, siyo hivyo tu, Ukristo ulileta Shule na Elimu ambayo tunajivunia mpaka leo hii na ni kwa wote waislamu, Wakristo na hata wasio na Dini wananufaika na Elimu ya Kikristo …
 
Watumwa wa marekani walipelekwa na nani?.. kwamba zanzibar watu wote wote weusi ni vizazi vya watumwa,ndiyo elimu ya kanisani hiyo?.. utumwa ulipigwa marufuku na wakiristo,au waliamua kuachana nao baada ya ugunduzi wa mashine?..hiyo elimu unayodhani ya kikristu ilikuja na kanisa au wakoloni?
 
hakuna Watumwa ktk kwetu waliopelekwa Bara la Amerika, Watumwa ktk kwetu waliuzwa zanzibar, somalia, india mpaka irani na uarabuni ambako mpaka leo wengi wao wana maisha duni kama ya wakati wa utumwa btw watumwa waliouzwa Christian countries leo hii wana higher living standard kuliko black man yoyote yule dunia hii pamoja na watwana wao, leo hii USA kuna senetors, billionaires, Governors, movie directors ambao ni slave descendats wakati watumwa waliouzwa kwa waislamu huko india au irani bado ni watumwa au wana hali ya kiutumwa mpaka leo hii, hata Zanzibar kama Kanisa lisingeingia leo hii bado mtu mweusi angekuwa mtumwa au angeishi kitumwa …
 
Elimu yako duni,watumwa toka africa mashariki walikua laki nane mpaka milioni, wakati laki mbili walipelekwa amerika na ulaya
Google Image Result for https://aaregistry.org/wp-content/uploads/2020/06/middle-passage-300x191.jpg
Ndiyo kisa marekani kuitwa unyamwezini,ikiaminika watumwa walikua wanyamwezi
 
Asia. While the slave trade in the Indian Ocean started 4,000 years ago, it expanded significantly in late antiquity (1st century CE) with the rise of Byzantine and Sassanid trading enterprises. Muslim slave trading started in the 7th century, with the volume of trade fluctuating with the rise and fall of local powers. Beginning in the 16th century, slaves were traded to the Americas, including Caribbean colonies, as Western European powers became involved in the slave trade. Trade declined with the abolition of slavery in the 19th century.[1][2]

His​

Nimekuongezea elimu,siyo unalishwa tu ujinga kwenye vikao vya mvinyo,halafu hao watumwa waliokua na maisha mazuri huko ulaya na marekani unawazungumzia wale ambao akina malcolm x na martin luther king waliwapigania!?..unayajua maisha ya vizazi vya watumwa USA baada ya utumwa kuisha!?.. achilia mbali Latin america
 
hakuna mtumwa ktk kwetu aliyepelekwa Bara la Amerika, watumwa wote waliopelekwa Amerika walitokea west afrika ambako wana atlantic ocean, ndio maana pia watumwa walichukuliwa ktk Angola kupelekwa Brazil sababu Angola iko atlantic, kwetu ni east hatuna atlantic ocean tuna indian ocean, kwa nini meli ya utumwa izunguke kote huko mpaka atlantic kufika bara la Amerika wakati inaweza kwenda straight ktk west afrika ? watumwa wetu walipelekwa kutumia india ocean uarabuni, somalia mpaka irani ..
 
Asia. While the slave trade in the Indian Ocean started 4,000 years ago, it expanded significantly in late antiquity (1st century CE) with the rise of Byzantine and Sassanid trading enterprises. Muslim slave trading started in the 7th century, with the volume of trade fluctuating with the rise and fall of local powers. Beginning in the 16th century, slaves were traded to the Americas, including Caribbean colonies, as Western European powers became involved in the slave trade. Trade declined with the abolition of slavery in the 19th century.[1][2]

His​

Nimekuongezea elimu,siyo unalishwa tu ujinga kwenye vikao vya mvinyo,halafu hao watumwa waliokua na maisha mazuri huko ulaya na marekani unawazungumzia wale ambao akina malcolm x na martin luther king waliwapigania!?..unayajua maisha ya vizazi vya watumwa USA baada ya utumwa kuisha!?.. achilia mbali Latin america

naongelewa watumwa wa ktk bara letu na siyo utumwa in general, watumwa wa Afrika kwenda bara la Amerika hawakutoka kwetu bali walichukiliwa kutoka west afrika, sababu ya logistics west afrika ina atlantic ocean, watumwa ktk kwetu walipelekwa kupitia indian ocean kwenda somalia, india na hata irani na uarabuni …
 
Unajua kiingereza lakini!?..nimekuwekea ramani ya route ya watumwa east na west africa,nikakubandikia na kipande cha history kikionesha watumwa waligoma East Africa pia,bado unang'ang'ana na elimu yako uliyokaririshwa Sunday school,watumwa toka kwetu walipata milioni,laki mbili wakienda america waliobaki asia
 
Bado huamini kama watanganyika walienda america utumwani!?
 
Attachments

  • Screenshot_2024-09-22-14-18-23-122.jpg
    Screenshot_2024-09-22-14-18-23-122.jpg
    362.3 KB · Views: 6
hakuna Watumwa ktk kwetu waliopelekwa Bara la Amerika, Watumwa ktk kwetu waliuzwa zanzibar, somalia, india mpaka irani na uarabuni ambako mpaka leo wengi wao wana maisha duni kama ya wakati wa utumwa btw watumwa waliouzwa Christian countries leo hii wana higher living standard kuliko black man yoyote yule dunia hii pamoja na watwana wao, leo hii USA kuna senetors, billionaires, Governors, movie directors ambao ni slave descendats wakati watumwa waliouzwa kwa waislamu huko india au irani bado ni watumwa au wana hali ya kiutumwa mpaka leo hii, hata Zanzibar kama Kanisa lisingeingia leo hii bado mtu mweusi angekuwa mtumwa au angeishi kitumwa …
Aliyewauza babu na bibi zako ni hao waliokuwa viongozi wa makabila. Mwarabu hakukamata watu kwa nguvu.
Tafakari.
 
Unajua kiingereza lakini!?..nimekuwekea ramani ya route ya watumwa east na west africa,nikakubandikia na kipande cha history kikionesha watumwa waligoma East Africa pia,bado unang'ang'ana na elimu yako uliyokaririshwa Sunday school,watumwa toka kwetu walipata milioni,laki mbili wakienda america waliobaki asia

hakuna watumwa waliotoka east afrika kwenda Bara la Amerika ni kipi hauikiekewi? au unafikiri ni kwa nini inaitwa “ the atlantic slave trade?” East Afrika haina connection na Atlantic ocean, east afrika kuna indian ocean, ili meli ifike amerika kutokea East Afrika ni lazima izunguke bara lote sasa why would they do that wakati west afrika ina connect moja kwa moja na atlantic ocean?
Isitoshe meli ya mwisho ya utumwa ktk afrika kwenda Americas ilikuwa miaka 1860 wakati huo Wazungu walikuwa bado hawajafika kwetu, mkutano wa Berlin ulikuwa 1884/85 tulifundishwa shuleni sasa hao watumwa ktk kwetu kwenda amerika aliwachukuwa nani ?
 
Bado huamini kama watanganyika walienda america utumwani!?

hakuna kitu kama hicho hiyo ni logistic night mare, isitoshe ni nani aliwachukuwa ktk east afrika kuwapeleka americas kwani wakati huo ukoloni wa wazungu ulikuwa bado haujafika east afrika ukiachilia msumbiji labda kwa na Ureno lkn siyo kwetu, …
 
Aliyewauza babu na bibi zako ni hao waliokuwa viongozi wa makabila. Mwarabu hakukamata watu kwa nguvu.
Tafakari.

hakuna mahali niliposema mwarabu alikamata watumwa kwa nguvu hilo silijui ila aliyefanya biashara ya utumwa ni mwarabu na machotara wa kiarabu na kiafrika kama tip tipu na waliwauza na kuwanunua watumwa na kuwafunga minyororo ukienda zanzibar au hata bagamoyo tu utaona makumbusho yake …
 
Back
Top Bottom