hakuna watumwa waliotoka east afrika kwenda Bara la Amerika ni kipi hauikiekewi? au unafikiri ni kwa nini inaitwa “ the atlantic slave trade?” East Afrika haina connection na Atlantic ocean, east afrika kuna indian ocean, ili meli ifike amerika kutokea East Afrika ni lazima izunguke bara lote sasa why would they do that wakati west afrika ina connect moja kwa moja na atlantic ocean?
Isitoshe meli ya mwisho ya utumwa ktk afrika kwenda Americas ilikuwa miaka 1860 wakati huo Wazungu walikuwa bado hawajafika kwetu, mkutano wa Berlin ulikuwa 1884/85 tulifundishwa shuleni sasa hao watumwa ktk kwetu kwenda amerika aliwachukuwa nani ?