gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Mreno alifika kilwa karne ya 15,jielimishehakuna kitu kama hicho hiyo ni logistic night mare, isitoshe ni nani aliwachukuwa ktk east afrika kuwapeleka americas kwani wakati huo ukoloni wa wazungu ulikuwa bado haujafika east afrika ukiachilia msumbiji labda kwa na Ureno lkn siyo kwetu, …
Wewe elimu huna ndiyo shida, living stone alifika lini kigoma,tabora?.. mkoloni alikua kishafika?..mreno kapiga kilwa 1400s hukohakuna watumwa waliotoka east afrika kwenda Bara la Amerika ni kipi hauikiekewi? au unafikiri ni kwa nini inaitwa “ the atlantic slave trade?” East Afrika haina connection na Atlantic ocean, east afrika kuna indian ocean, ili meli ifike amerika kutokea East Afrika ni lazima izunguke bara lote sasa why would they do that wakati west afrika ina connect moja kwa moja na atlantic ocean?
Isitoshe meli ya mwisho ya utumwa ktk afrika kwenda Americas ilikuwa miaka 1860 wakati huo Wazungu walikuwa bado hawajafika kwetu, mkutano wa Berlin ulikuwa 1884/85 tulifundishwa shuleni sasa hao watumwa ktk kwetu kwenda amerika aliwachukuwa nani ?
Mreno alifika kilwa karne ya 15,jielimishe
Wewe elimu huna ndiyo shida, living stone alifika lini kigoma,tabora?.. mkoloni alikua kishafika?..mreno kapiga kilwa 1400s huko
Ulidai wazungu hawakufika kwetu mpaka baada ya german conference 1884/5,na wareno walifika kilwa na merikebu kubwa ya kivita wakitokea atlantic ambako ulidai logikwa hiyo alichukuwa watumwa kupeleka americas kutoka kwetu? besides kilwa inahusiana vipi na utumwa? biashara ya utumwa ilifwata caravan kutokea Kongo/Kigoma kupitiw tabora mpaka pwani na zanzibar …
Wewe si ulisema mzungu hakufika kwetu mpaka baada ya berlin conference!?wakati livingstone anafika tanganyika, tabora biashara ya utumwa i.e atlantic slave trade ilishafikia tamati. mreno alichukuwa watumwa kutoka Angola ambapo kuna direct access na atlantic ocean akapeleka americas hasa Brazil …
Hiki nilichoambatanisha hapa ni kitu gani?wakati livingstone anafika tanganyika, tabora biashara ya utumwa i.e atlantic slave trade ilishafikia tamati. mreno alichukuwa watumwa kutoka Angola ambapo kuna direct access na atlantic ocean akapeleka americas hasa Brazil …
started 4,000 years ago, it expanded significantly in late antiquity (1st century CE) with the rise of Byzantine and Sassanid trading enterprises. Muslim slave trading started in the 7th century, with the volume of trade fluctuating with the rise and fall of local powers. Beginning in the 16th century, slaves were traded to the Americas, including Caribbean colonies, as Western European powers became involved in the slave trade. Trade declined with the abolition of slavery in the 19th century.[1][2]kwa hiyo alichukuwa watumwa kupeleka americas kutoka kwetu? besides kilwa inahusiana vipi na utumwa? biashara ya utumwa ilifwata caravan kutokea Kongo/Kigoma kupitiw tabora mpaka pwani na zanzibar …
Ulidai wazungu hawakufika kwetu mpaka baada ya german conference 1884/5,na wareno walifika kilwa na merikebu kubwa ya kivita wakitokea atlantic ambako ulidai logi
Wewe si ulisema mzungu hakufika kwetu mpaka baada ya berlin conference!?
Hiki nilichoambatanisha hapa ni kitu gani?
Neno meza na mvinyo mswahili umelitoa wapi ikiwa hukuwa na muingiliano na mreno?..wewe endelea kukariri kuwa hakuna mtanganyika aliyepelekwa utumwani america bali arabuni tu, ndiyo history inayokupa rahanimeongelea kuhusu ukoloni, sisi hatukutawaliwa na Ureno …
wanunuzi wa watumwa walikua kina nani?Ukristo usingeingia tanzagiza, hata wewe siajabu ungezaliwa utumwani na labda ungekuwa bado mtumwa pia kwani nikikuangalia wewe siyo mwarabu …
Mashaallah, juzi nimeipita hiyo barabara ya watumwa ujiji kigoma hadi ziwani. Cha ajabu hakuna jitihada zozote za kuuenzi utalii ule wa ndani