A Anonymous Guest May 23, 2024 #1 Wahusika wa Barabara za Bugarika kwenda Mahina hadi Nyakato Temeke ni changamoto kubwa kwa wapita njia. Imefikia wakati vyombo vya moto vinasubiriana upande kwa upande jambo ambalo linapoteza muda na mafuta katika foleni.
Wahusika wa Barabara za Bugarika kwenda Mahina hadi Nyakato Temeke ni changamoto kubwa kwa wapita njia. Imefikia wakati vyombo vya moto vinasubiriana upande kwa upande jambo ambalo linapoteza muda na mafuta katika foleni.