Barabara za Dodoma Jiji zilizochimbwa na kutelekezwa zimeanza kurekebishwa

Barabara za Dodoma Jiji zilizochimbwa na kutelekezwa zimeanza kurekebishwa

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Baada ya Malalamiko niliyoandika juzikati nimeona Dodoma Jiji wameanza kujenga baadhi ya barabara walizozifukua na kuzitelekeza, hii ni Barabara ya 9 lakini bado utekelezaji ni mdogo, mamlaka ziongeze juhudi wananchi tunapata kero kwa kuwa tunalazimika kutumia njia mbadala muda mrefu.

Hoja ya awali~ Dodoma Jiji mlichimba barabara kisha mmezitelekeza mwezi sasa, shughuli nyingi zimeathirika



 
Back
Top Bottom