KERO Barabara za Masaki na Oysterbay zimechoka mno, haziendani na hadhi yake na zinafedhehesha

KERO Barabara za Masaki na Oysterbay zimechoka mno, haziendani na hadhi yake na zinafedhehesha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo.

Mashirika na taasisi karibu zote za kimataifa zipo huko. Pia makazi ya viongozi wote wa juu wa nchi. Wageni karibu wote wenye hadhi huwa ni lazima wafike maeneo hayo eidha kikazi au kijamii na burudani maana viwanja vyote vikubwa vya bata vipo huko na wageni mashuhuri wanaenda huko.

Ukiacha barabara ya coco beach (Toure drive) ambayo ilitengenezwa kwa hadhi nzuri na mwendazake, barabara nyingine zote ni aibu na fedheha.

Barabara ni nyembamba mno licha ya maeneo hayo kuwa na road reserve kubwa, pia barabara zina mashimo,viraka na vumbi la kutosha sababu ya kutofanyiwa usafi.

Hivi serikali haioni hii aibu? Haya maeneo ndio yalitakiwa yabebe sura na taswira ya jiji kwa miundombinu bora, hivi mwendazake nae asingetengeneza hii Toure drive si ndio ingekua kituko?

Mnapita humu kila siku ila hamuoni, kweli mwendazake alikua na maono aisee.

Pia soma
 
Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo. Mashirika na taasisi karibu zote za kimataifa zipo huko. Pia makazi ya viongozi wote wa juu wa nchi. Wageni karibu wote wenye hadhi huwa ni lazima wafike maeneo hayo eidha kikazi au kijamii na burudani maana viwanja vyote vikubwa vya bata vipo huko na wageni mashuhuri wanaenda huko. Ukiacha barabara ya coco beach (Toure drive) ambayo ilitengenezwa kwa hadhi nzuri na mwendazake, barabara nyingine zote ni aibu na fedheha. Barabara ni nyembamba mno licha ya maeneo hayo kuwa na road reserve kubwa, pia barabara zina mashimo,viraka na vumbi la kutosha sababu ya kutofanyiwa usafi. Hivi serikali haioni hii aibu? Haya maeneo ndio yalitakiwa yabebe sura na taswira ya jiji kwa miundombinu bora, hivi mwendazake nae asingetengeneza hii Toure drive si ndio ingekua kituko? Mnapita humu kila siku ila hamuoni, kweli mwendazake alikua na maono aisee.
Kuweni wavumilivu na sisi wa Buza tujengewe kwanza.
 
Wamejitahidi kuweka lami pande hizo
20240805_143902.jpg
 
Barabara ya Masaki kuanzia Namanga-Fitness - Delta Hotel-Slipway - Mozambique Embassy ,imeharibiwa na Magari makubwa ya Lake oil na hii ni kutokana na ujenzi mkubwa wa ubalozi wa Msumbiji unaendelea yan barabara hazifai nafikiri mwanzoni zilijengwa maalumu kwa kupitisha magari yenye uzito wa wastani, ila sahv hali ni mbaya barabara zimejaa mashimo mnoo, afu jamaa wanaziba viraka vikikaa sana basi ni mwezi mashimo yanarudi tena
 
Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo.

Mashirika na taasisi karibu zote za kimataifa zipo huko. Pia makazi ya viongozi wote wa juu wa nchi. Wageni karibu wote wenye hadhi huwa ni lazima wafike maeneo hayo eidha kikazi au kijamii na burudani maana viwanja vyote vikubwa vya bata vipo huko na wageni mashuhuri wanaenda huko.

Ukiacha barabara ya coco beach (Toure drive) ambayo ilitengenezwa kwa hadhi nzuri na mwendazake, barabara nyingine zote ni aibu na fedheha.

Barabara ni nyembamba mno licha ya maeneo hayo kuwa na road reserve kubwa, pia barabara zina mashimo,viraka na vumbi la kutosha sababu ya kutofanyiwa usafi.

Hivi serikali haioni hii aibu? Haya maeneo ndio yalitakiwa yabebe sura na taswira ya jiji kwa miundombinu bora, hivi mwendazake nae asingetengeneza hii Toure drive si ndio ingekua kituko?

Mnapita humu kila siku ila hamuoni, kweli mwendazake alikua na maono aisee.
rich people mnalalamika, nikajua ni stahiki yetu tARIME only
na bado
 
Back
Top Bottom