maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo.
Mashirika na taasisi karibu zote za kimataifa zipo huko. Pia makazi ya viongozi wote wa juu wa nchi. Wageni karibu wote wenye hadhi huwa ni lazima wafike maeneo hayo eidha kikazi au kijamii na burudani maana viwanja vyote vikubwa vya bata vipo huko na wageni mashuhuri wanaenda huko.
Ukiacha barabara ya coco beach (Toure drive) ambayo ilitengenezwa kwa hadhi nzuri na mwendazake, barabara nyingine zote ni aibu na fedheha.
Barabara ni nyembamba mno licha ya maeneo hayo kuwa na road reserve kubwa, pia barabara zina mashimo,viraka na vumbi la kutosha sababu ya kutofanyiwa usafi.
Hivi serikali haioni hii aibu? Haya maeneo ndio yalitakiwa yabebe sura na taswira ya jiji kwa miundombinu bora, hivi mwendazake nae asingetengeneza hii Toure drive si ndio ingekua kituko?
Mnapita humu kila siku ila hamuoni, kweli mwendazake alikua na maono aisee.
Pia soma