Barabara za mitaa: ueledi wa mwendesha Greda

aaamuk

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
707
Reaction score
209
Nilikuwa naongea na ndugu yangu aliye pugu majohe ameniambia kuwa Greda lilipokuwa linarekebisha barabara za mtaa kuna maeneo wameingia sana kwenye viwanda vya watu..hasa chake

Kwa kuwa wadau mpo wenye uelewa kuhusu mambo haya ya barabara. je upana wa barabara ya mtaa ni upi?

Kama mtu akiamua kufungua kesi inaweza akafidiwa uharibifu wa eneo lake.
 
Hili limekaa kama jipu hivi wataalam mnalikimbia
 
Nilikuwa naongea na ndugu yangu aliye pugu majohe ameniambia kuwa Greda lilipokuwa linarekebisha barabara za mtaa kuna maeneo wameingia sana kwenye viwanda vya watu..hasa chake

Kwa kuwa wadau mpo wenye uelewa kuhusu mambo haya ya barabara. je upana wa barabara ya mtaa ni upi?

Kama mtu akiamua kufungua kesi inaweza akafidiwa uharibifu wa eneo lake.

Mwambie akafungue kesi mahakamani
 
Jamaa amelia greda kumbe bomoa bomoa ilikuwa njiani. ..Tusubiri tusikie kama hajachorewa X
 
Back
Top Bottom