Nilikuwa naongea na ndugu yangu aliye pugu majohe ameniambia kuwa Greda lilipokuwa linarekebisha barabara za mtaa kuna maeneo wameingia sana kwenye viwanda vya watu..hasa chake
Kwa kuwa wadau mpo wenye uelewa kuhusu mambo haya ya barabara. je upana wa barabara ya mtaa ni upi?
Kama mtu akiamua kufungua kesi inaweza akafidiwa uharibifu wa eneo lake.