Barabara za mitaani kuamua uchaguzi wa serikali za mitaa 2024

Barabara za mitaani kuamua uchaguzi wa serikali za mitaa 2024

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kwa maoni yangu, moja kati ya mambo ambayo yataamua hatima ya chaguzi za wenyeviti wa vitongoji, mitaa na vijiji, ni barabara za mitaani.

Mvua kubwa za 2023/2024 zimeacha miundombinu hiyo ikiwa imeharibika sana, na ni kero kubwa kwa wananchi
 
🐒 kwani umeme ni tatizo tena? na barabara hivyo hivyo hazitakua tatizo tena..
 
Mwaka huu sijui serikali itaongea lugha gani juu ya barabara hasa Kwa hapa DAR
 
Mbona umewatetea kwamba mvua ndo ilikuwa kikwazo wakati mitaa mingine barabara ni mbovu tu hata kama hakuna mvua
Nimetoa angalizo tu, maana hata Jerry Silaa anajitoa akili lakini anajua ukonga hatarudi, kule kuna mahandaki ya kujificha ngiri, yeye anaziita barabara
 
Watu wameisha kugawana za kutengenezea mwaka mzima
Yaani bajeti ikipita wanatanua midomo kama Mamba anaeota jua
 
Back
Top Bottom