A
Anonymous
Guest
Mwanza (Nyamagana), tuliahidiwa ujenzi wa barabara mwaka 2011 na mipaka ya barabara ikawekwa.
Hata hivyo, tangu miaka ya 1980 barabara hii haijafanyiwa ukarabati wa kina. Jiji limekuwa likiziba mashimo kwa kuchelewa, hali inayoacha maeneo mengi kuharibika na kusababisha ajali pamoja na uharibifu wa magari.
Tunaiomba mamlaka husika izingatie kuwa sisi pia ni walipa kodi, hivyo tunastahili kupata huduma za kijamii zinazostahili, ikiwemo miundombinu bora kama inavyopatikana katika miji mingine.