A
Barabara za nyamagana😃Kapicha basi.
MWANZA ina shida sana sana Ya Barabara zaje zote kuu za kuingia Mjini Barabara ya Kenyatta/Shinyanga road kuingia na kutoka mjini ni Moja na ulimi wa kenge Barabara ya Kenyatta/Musoma Road imechoka na haifahi kuendana na kasi ya mji kiufupiBarabara za nyamagana😃
Duhh mbona hatari! Na ndio nina plan ya kurudi soon pia nikajua barabara isharudi mabatini na mkutuni kumbe bado uhinga ni uleule! Viongozi wenyewe ndio hao kima sima! Ni vichekesho aisee.. Ccm tunyooshe!MWANZA ina shida sana sana Ya Barabara zaje zote kuu za kuingia Mjini Barabara ya Kenyatta/Shinyanga road kuingia na kutoka mjini ni Moja na ulimi wa kenge Barabara ya Kenyatta/Musoma Road imechoka na haifahi kuendana na kasi ya mji kiufupi
Mbaya zaiid hiyo Nyamaga haina Alternative ya wewe kufika mjini otherwise uzunguke Buhongwa sahwa, Kishiri uje mjini au Uende hadi usagara Fella, Kisesa nsio uje mjini safari ya Dakika kadhaa unaweza tumia masaa ma2 yaan mtu anaetoka Kahama kufika Nyegezi akawagi wewe bado upo tu na safari nikikuwepo Mwaka jana miezi kama hii ile vumbi ya mkuyuni na Mabatini imenitesa sana
Tutarudi ndio Nyumbani
Kwanini walipoteza maisha na kuwa vilema?Hapo mkuyuni na mabatin mwaka jana vijana wengi walikuwa vilema na kupoteza maisha...sijui kwa nini serikal haifanyi tathmini kabla ya kuanzisha miradi
Ajali nyingi za pikpk kutokana na wembamba wa hizo barabara + mashimo makubwaKwanini walipoteza maisha na kuwa vilema?
Dahh ila uongozi wa mwanza especially Nyamagana, hauko serious kabisaa! Barabara kubwa zinatumika kwa safari kubwa kubwa na za mbali, pia zinategemewa kuleta wagonjwa kanda nzima kutoka tabora, kahama, shinyanga na musoma kuja bugando!Ajali nyingi za pikpk kutokana na wembamba wa hizo barabara + mashimo makubwa
Hawawezi, barabara ya kawaida tu wameitandua miaka inaenda tu!Inabid wakianza wamalize na mwendo kasi kabisa from Buzuruga tu Buhongwa...
Sasa wamfikia stage vyote vinahitajika na tulivyo na viongozi wasiofikiria wataleta kimoja tuu hapoHawawezi, barabara ya kawaida tu wameitandua miaka inaenda tu!
Mabula wote wa nyamagana na Ilemela wote mizigoHizo zilikuwa fitna za viongoz tu..ila kwa huyu Mabula wa nyamagana ilikuwa sahihi kumpiga chini..yan alikuwa na ubinafsi kwan alitengeneza barabara ya kwenda kwake hapo mahina...ila sehem nyingine ndo hazipitik kabisa....mfano kuna hyo barabara ya kupitia mkuyuni kuja kutokea machinjionii..ina mashimo makubwa ambayo ni kurisk vyombo + maisha ya watu...ingekuwa imewekewa lami ingepunguza jam ya hapo mjin kwa watu wanaoenda Igoma na kisesa
Machinjioni ndio pachafu chafu hasa mvua zikinyesha! Huyo mayor sima ndio anaishi huko! Ana kazi ya kuongeza range na umalaya tu, jimboni kwake kuchafuu!! Halafu wanamtoa yule mama wanatuwekea wapumbavu tu! Yani mwanza ilitakiwa iwe ishavuka hizo levels siku nyingi sana, jiji lishapanuka watu wamekuwa wengi, huko buhongwa, kisesa, nyamhongolo watu wamejenga kama vichaa, nenda nyashishi kule watu nyomi kumepanuka sana, sasa hizo barabara wasipozifanyia marekebisho wanafikiri itakuwaje mpaka hii miaka yao iishe?Hizo zilikuwa fitna za viongoz tu..ila kwa huyu Mabula wa nyamagana ilikuwa sahihi kumpiga chini..yan alikuwa na ubinafsi kwan alitengeneza barabara ya kwenda kwake hapo mahina...ila sehem nyingine ndo hazipitik kabisa....mfano kuna hyo barabara ya kupitia mkuyuni kuja kutokea machinjionii..ina mashimo makubwa ambayo ni kurisk vyombo + maisha ya watu...ingekuwa imewekewa lami ingepunguza jam ya hapo mjin kwa watu wanaoenda Igoma na kisesa
Ulimg'hola dadaDuhh mbona hatari! Na ndio nina plan ya kurudi soon pia nikajua barabara isharudi mabatini na mkutuni kumbe bado uhinga ni uleule! Viongozi wenyewe ndio hao kima sima! Ni vichekesho aisee.. Ccm tunyooshe!
Na hamna wa kujali..wanajiangalia wao tu...na sasa hiv ni kama hakuna uongo, kabisa...jana kuna paranja lilipita kila camp za kuuzia chuma na betr...tunauliza wanasema barabara ya nyasaka-pasianz betr za taa zote zimeibiwa...ila ukiangalia kwa jicho la kiuchunguz utakuta ni wao wao wamepiga hilo dili cz hakuna mtu mwenye ujasir wa kufungua betr zote kwa usiku mmoja kama hana ujuz na mteja wa kwenda kumuuziaMachinjioni ndio pachafu chafu hasa mvua zikinyesha! Huyo mayor sima ndio anaishi huko! Ana kazi ya kuongeza range na umalaya tu, jimboni kwake kuchafuu!! Halafu wanamtoa yule mama wanatuwekea wapumbavu tu! Yani mwanza ilitakiwa iwe ishavuka hizo levels siku nyingi sana, jiji lishapanuka watu wamekuwa wengi, huko buhongwa, kisesa, nyamhongolo watu wamejenga kama vichaa, nenda nyashishi kule watu nyomi kumepanuka sana, sasa hizo narabara wasipozifanyia marekebisho wanafikiri itakuwaje mpaka hii miaka yao iishe?
Ila wa nyamagana alizid kwa kwel..Magu alikuwa anamuendekeza sanaMabula wote wa nyamagana na Ilemela wote mizigo
Mhola gete kaka, wamisha kinehe?Ulimg'hola dada
Mola sana getegete