KERO Barabara za Mwanza, hususan Nyamagana hazina hadhi ya Jiji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Dahh hao ndio wapigaji aisee, mfano mtu ambaye hajui kazi yake anaiba akafanyie nini? Na soko lake pia lazima ulijue! Hawa watu wanacheza sana na nchi kama mdako vile.. kila anayeingia yuko kimaslahi zaidi, sasa tutabakisha daraja la magufuli tu ndio liwe historia pengine kote ushenzi unaongezeka!
 
Duhh mbona hatari! Na ndio nina plan ya kurudi soon pia nikajua barabara isharudi mabatini na mkutuni kumbe bado uhinga ni uleule! Viongozi wenyewe ndio hao kima sima! Ni vichekesho aisee.. Ccm tunyooshe!
Barabara zimerudi ila ile sio mipango ya kudumu kwa mji kama ule
 
Barabara zimerudi ila ile sio mipango ya kudumu kwa mji kama ule
Pafinyu mno especially njia ya mabatini haina option zaidi ya ule uchochoro! Ni huzuni kwakweli!
 
Barabara nyingi nchi hii sasa hivi zipo katika hali mbaya sana, mamlaka zipo zimelala fofofo, inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…