ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Leo nimeamua kujikita Katika mada hii inayohusu Trafiki, Mimi Nimezunguka Barabara nyingi sana nchi hii na nimekutana na Trafiki wa aina mbalimbali, wanoko, wapenda haki, wanaopenda kuelimisha.
Sasa katika Zunguka Zunguka yangu nimeona kuwa kipande Cha Barabara kinachoanzia Wiaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro Hadi Wiaya ya babati mkoani Manyara kupitia USA river Arusha ndio kipande hatari kwa Askari wakali, wanoko, kwanza wapo wengi, Askari Hawa ni hatari, washawahi kuniweka ndani kisa niliovertake kwenye daraja la mto kikavu wilaya ya Hai .
Sasa wadau toeni maoni yenu kuhusu maeneo mengine yaliyo na Askari wa barabarani wengi na wakali.
Pia nimesafiri sana nchi mbalimbali Africa na nje ya Africa, nchi nyingi mtu haruhusiwi kuendesha chombo Cha moto akiwa amelewa, na ukikamatwa faini yake ni kubwa.
Sasa sielewi Kwa Tanzania IPO Vipi, mana Askari wengi na viongozi wa serikali Huwa wanaendesha magari wamelewa, sijawahi kusikia.
Pili ukienda Bar weekend utakuta zaidi ya gari mia zimepaki nje, na madereva wanalewa ndani, kwanini Askari wasikae geti la kutokea wawakamate.
Sasa Nashauri Ili tukuze sekta ya usafirishaji hasa taksi na bajaji, itolewe adhabu ya kifungo Cha miaka 3 au faini ya milioni 3 Kwa yeyote yule atakayekutwa anaendesha chombo Cha moto akiwa KALEWA either awe mwana CCM ama Mwanachadema.