Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Wakuu kwema?
Hii imekaaje? Badala ya kuzipa barabara majina ya viongozi au wanasiasa au watu mashuhuri zipewe majina ya mkandarasi aliyejenga pamoja na anuani ya makazi yake, akivurunda tu tunajua pa kumpata.
Nakuhakikishia kiwango kwenye ujezi wa barabara kitaimarika mara moja. Maana akiboronga tu anajua watu watamkaba kooni, na hatokuja kupata tenda nyingine sababu tutaikalia serikali kooni kama vile DP World 😂 😂 😂.
Hii si imeenda Wakuu?