Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

Badala ya kuwaza bilioni 4 ulizoiibiwa na mtu m1 unamlilia Obama...inatusaidia nini sasa?🙄
 
Obama aliivuruga dunia.Iraq,Libya,Ivory coast, Afghan stan. Trump haikuendeleza vita za Obama.
 
Muda mwingine muwe mnashirikisha ubongo kwenye kufikiri sio kutumia matako.
 
Nami narudia . Wewe ni mpuuzi. America si kama Tanzania kwamba Rais akiingia anaweza kufanya apendavyo. No kule taasisi zao zina nguvu kuliko mtu binafsi . Ndiyo maana umeona kichaa cha Trump kimetulizwa. Ingekuwa Africa Trump angelifia madarakani .

So Obama asingeweza kufanya makubwa juu ya wa Africa na watu weusi duniani . Ni kwa sababu hatujitambui. Nakumbuka alipoingia madarakani alifanya ziara mara kadhaa Africa . Na moja alifanyia Adis aababa kwenye mkutano wa AU aliwashauri viongozi wetu kutengeneza taasisi imara badala ya viongozi imara. Alipoondoka tu Marais watatu walibadili katiba zao ili wajiongezee mihula madarakani (Mseveni, Kagame & Nagsimbe). So alijaribu kuweka kitu lakini aina ya viongozi tulionao ndiyo kama hawa waTz . Waliodai apende asipende anabaki madarakani eg Ndugai & co

Odhis *
 

wewe mla mihogo ya kukaanga asubuhi ndio unaisemea marekali,serious!!!

unaijua mamlaka ya rais wa marekani sawa sawa!!!
au hata hujamwelewa mletamada??
 
wewe mla mihogo ya kukaanga asubuhi ndio unaisemea marekali,serious!!!

unaijua mamlaka ya rais wa marekani sawa sawa!!!
au hata hujamwelewa mletamada??
Umekurupukia wapi nawe ?!. Au ulikuwa na jibu tayari !!.

Angefanya nini kwa viongozi wasiojielewa na wabinafsi kama hawa tulionao ?! Ulitaka ailazimishe serikali ya US kuijenga Africa kwa nguvu ?! Huko Rais hana ubavu huo . Yapo mambo aliopewa mamlaka kujiamulia lakini mengine lazima yapitishwe na taasisi zao.

Odhis *
 
Hatuhitaji Misaada zaidi ila kwa position aliyonayo hata kukemea hayo maovu yanayoonekana.

Hauachi mambo yakaenda hovyo kwa kisingizio cha viongozi wa Afrika hawajitambui..sasa kama hao ndio viongozi wa Afrika hao wananchi huko chini hali ikoje?
 
Yaani umeamka huko, baada ya kusikia obama kafiwa. Ukatafuta cha kuandika kuhusu yeye. Kisicho na mbele wala nyuma
 

hueleweki mara viongozi wabinafsi,mara hajapewa mamlaka hayo,kipi unasimamia hap!!

mletamada anazungumzia kuhusu heshima ya mtu mweusi na utu wake,wewe sijui unawaza maharage ya wapi!!!!
 
Hahahaha
Dah inashangaza yaan una lilia POLE ? Hii sio sawa mtoa UZI.

Kumbuka mchuma janga hulia na nduguze sasa tambuaa Obama sio ndugu zako ile ni rangi tu ngozi ila moyon mwake ni mtu mweupe
 
Wamarekani walitoa rambi rambi za maafa na uharibifu uliojitokeza kwenye tetemeko la ardhi kule Kagera!

Mtoa mada unaweza kutueleza hizi pesa zilienda wapi?
Akilijibu hili swali utani-tag tafadhali.
 

Mkuu,

Nina mashaka kama kweli unajua na kufuatilia kwa maana ya kuelewa aliyoyafanya huyo muungwana.
Hapo palipokolezwa pahusike;
Swali moja tu. Je, unajua ni nini? au umewahi kusikia kitu inaitwa OBAMACARE?
Iliwahi kuwepo kabla ya Obama kuingia Madarakani?
Kwa faida yako tu ingawa haibagui Raia ila wafaidika wakubwa ni 'Waswahili' kama ulivyopenda kujua.

Yule 'Mwehu' alieondoka juzi alikuwa hataki hata kuisikia hiyo OBAMACARE lakini ameshindwa kuifuta kwakuwa ipo Kisheria na Akijua inamfaidisha nani zaidi.

Hicho ni kimojawapo ya vitu muhimu sana ambavyo 'Waswahili' wale hawawezi kumsahau Bw. Obama kwacho,
Nikutajie kingine?
 
Kwa Hulka na Fikra hizi kwamba mtu individual ndio atakukomboa wewe na sio wewe mwenyewe na jamii yako ndio sababu kubwa ya kutokujikomboa...
 
Matatizo ya watu weusi yatatatuliwa na watu weusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…