Barafu imeshamiri Mlima Kilimanjaro kwa siku ya pili leo

Barafu imeshamiri Mlima Kilimanjaro kwa siku ya pili leo

Nikiwa kazini
IMG_20240910_083239_867.jpg
 
Barafu huongezeka mlimani kunakuwa na yale mawingu ya juu sana ambayo husababisha mvua kwenyeshea juu ya mlima. Mawingu hayo kwa kawaida yanakuwepo kuanzia Disemva hadi Machi mwanzoni. Ikumbukwe kuwa mawingu ya kawaida ya mvua hayawezi kufika juu ya mlima yanaishia katikati. Mwaka huu mvua za vuli zimechelewa na pia kuna kimbunga kimetokea kwenye bahari ya hindi ndio sababu ya hayo mawingu kipindi hiki.
 
Uzuri mmoja toka nazaliwa nakuta watu wanatumia maji ya bomba safi na salama bila hata kuyachemsha na hakuna tatizo.
hapana na hao bakteria wananaozalishwa na konokono hukaa kwenye maji safi!, labda kinga zako tu ziliweza kupambana na aidha haikuwa bahati mbaya kwako kupata bimelea hivyo ila najua hakukosekani waliovipata!
 
Back
Top Bottom