Baraka Ba Prince aja na Label yake inajulikana kama BANA, amsaini Lord eyes

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
9,065
Reaction score
18,358
Kama ilivyo kawaida kwa sasa ambapo kila msanii wa bongo fleva anataka kumiliki label yake.Hatimaye msanii Baraka da Prince na mpenzi wake Najma wametuletea label mpya kabisa inayojulikana kama BANA

Hata hivyo hawajataka kuchelewa katika usajili na tayari wamemsajili mtu mzima a.k.a mtu mbaya kutoka Arusha Lord eyes (lord iz) na usajili bado unaendelea.

Baadhi ya wasanii walianzisha label hivi karibuni yupo Alikiba, Christian Bella,Barnaba...
 
Punguza kukurupuka mkuu....Ali Alisema Label anayo toka kitambo ila hakuwahi Kuitangaza.

So usipotoshe Huma kwa kusema kafungua label hivi karibuni.
Hiyo zamani alikuwepo nani?
 
Label ya mziki Tanzania ni moja tu,WCB....kuanzisha label sio sawa na kufungua page ya insta,label inapaswa kuwa na office maalum,management, watu wa sheria,watu wa ufundi etc..pia itambulike kisheria na ilipe kodi,sasa hao wenye label za mikononi wanapaswa kuongeza juhudi.
 
Punguza kukurupuka mkuu....Ali Alisema Label anayo toka kitambo ila hakuwahi Kuitangaza.

So usipotoshe Huma kwa kusema kafungua label hivi karibuni.
lebo yake ya mwanzoni miaka ya 2007 alikiba ilikuwa sharobaro entertainment chini ya studio ya g.record then akahama miaka ya 2010 nakuanzisha rockstar ipo mpaka leo
 
lebo yake ya mwanzoni miaka ya 2007 alikiba ilikuwa sharobaro entertainment ch
lebo yake ya mwanzoni miaka ya 2007 alikiba ilikuwa sharobaro entertainment chini ya studio ya g.record then akahama miaka ya 2010 nakuanzisha rockstar ipo mpaka leo
duuuu rockstar ni ya alikiba au yeye amesainiwa rockstar?
 
lebo yake ya mwanzoni miaka ya 2007 alikiba ilikuwa sharobaro entertainment chini ya studio ya g.record then akahama miaka ya 2010 nakuanzisha rockstar ipo mpaka leo
UMEKURUPUKA, No info, No right to speak. Alikiba yuko-signed kwenye hiyo label ya Rockstar 4000 kama msanii na si mmiliki.
 
BAADA ya Weusi Kuwa
na Kigugumizi Kuhusu
Lord Eyes..Baraka The
Prince Aamua
Kumchukua Kwenye
Lebo yake
Na mwimbaji wa bongofleva Baraka
The Prince ameingia kwenye headlines
za kusimamia wasanii na sasa
kaanzisha Label
iitwayo BANA itakayosimamiwa na
watu wawili ambao ni Baraka na
mpenzi wake Naj.

BANA tayari imeshafanya
mazungumzo na kujiweka kwenye
mstari wa kufanya kazi kwa
kuwasimamia Wasanii watatu
akiwemo Rapper Lord Eyes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…