Kweli aisee huyo jamaa anapotosha Huma.Punguza kukurupuka mkuu....Ali Alisema Label anayo toka kitambo ila hakuwahi Kuitangaza.
So usipotoshe Huma kwa kusema kafungua label hivi karibuni.
ZARIalikuwepo nani kwenye hiyo label mkuu?
Hahah... Alikuwa na label, isiyojulikana na ambayo haijasajili mtu kwa sababu hapendi show off.. Ila ni label. Sa hiv ndo nimeelewa...Hapendagi show off ndo maana hakutabgaza kama alikuwa na lebel
Unapokua la lebbel ambayo haina jina, huitangazi na haina hata msanii mmoja is non sense! Zaman ndo mda gan huo?? Zama za mawe?? Aache ujinga, 2nachofaham cc n kwamba le bel yake kaianzisha mwaka huu! Zama za mawe????Kiba alikuwa na Lebel yake kabla ya Diamod sema hapendi show off tu.
Huwez kua na lebbel alafu usiitangaze na hata isiwe na mdanii hata mmoja, itakua haina maana!..,na kwann aitangaze lebbel yake mwaka huu?? Tena baada ya wasafi kung'ara?? Ana2zingua bana ,, hana ishu!Kiba alikuwa na Lebel yake kabla ya Diamod sema hapendi show off tu.
Acha kubisha bishaPunguza kukurupuka mkuu....Ali Alisema Label anayo toka kitambo ila hakuwahi Kuitangaza.
So usipotoshe Huma kwa kusema kafungua label hivi karibuni.
Only in tanzania uyo baraka mziki kaanza jana tu eti zamani[emoji23][emoji23][emoji23]Punguza kukurupuka mkuu....Ali Alisema Label anayo toka kitambo ila hakuwahi Kuitangaza.
So usipotoshe Huma kwa kusema kafungua label hivi karibuni.
Dah ww jamaa unachaganya studio n label n sio kila studio ina label n unaweza kuwa n lebel ukawa hauna studiolebo yake ya mwanzoni miaka ya 2007 alikiba ilikuwa sharobaro entertainment chini ya studio ya g.record then akahama miaka ya 2010 nakuanzisha rockstar ipo mpaka leo
Kama unalabel alafu hujaitangaza, ujasign mtu, nadhani hiyo haiwezi kuwa label.....labda tuipe jina wadauKila mtu na maamuzi yake na kila mtu na chaguo lake.
lengo langu ni kumfanya huyu jamaa asipotoshe umma kwa kusema kuwa label ya Ali kiba ni mpya.
Basi iwe Unknown records.Kama unalabel alafu hujaitangaza, ujasign mtu, nadhani hiyo haiwezi kuwa label.....labda tuipe jina wadau
ofisi yake ipo wapilebo yake ya mwanzoni miaka ya 2007 alikiba ilikuwa sharobaro entertainment chini ya studio ya g.record then akahama miaka ya 2010 nakuanzisha rockstar ipo mpaka leo