Baraka Ba Prince aja na Label yake inajulikana kama BANA, amsaini Lord eyes

Baraka Ba Prince aja na Label yake inajulikana kama BANA, amsaini Lord eyes

Punguza kukurupuka mkuu....Ali Alisema Label anayo toka kitambo ila hakuwahi Kuitangaza.

So usipotoshe Huma kwa kusema kafungua label hivi karibuni.
Kweli aisee huyo jamaa anapotosha Huma.
 
Kiba alikuwa na Lebel yake kabla ya Diamod sema hapendi show off tu.
Unapokua la lebbel ambayo haina jina, huitangazi na haina hata msanii mmoja is non sense! Zaman ndo mda gan huo?? Zama za mawe?? Aache ujinga, 2nachofaham cc n kwamba le bel yake kaianzisha mwaka huu! Zama za mawe????
 
Kiba alikuwa na Lebel yake kabla ya Diamod sema hapendi show off tu.
Huwez kua na lebbel alafu usiitangaze na hata isiwe na mdanii hata mmoja, itakua haina maana!..,na kwann aitangaze lebbel yake mwaka huu?? Tena baada ya wasafi kung'ara?? Ana2zingua bana ,, hana ishu!
 
Nasema hiviiii...
Nasema hiviiii...
Label bongo ipo moja tu na aliyeleta thread hii anaijua

THE END OF POOR DISCUSSION
 
Nasema hiviiii...
Nasema hiviiii...
Label bongo ipo moja tu na aliyeleta thread hii anaijua

THE END OF POOR DISCUSSION
ha haaa haaaa we unataka timu flani wanitukane
 
Punguza kukurupuka mkuu....Ali Alisema Label anayo toka kitambo ila hakuwahi Kuitangaza.

So usipotoshe Huma kwa kusema kafungua label hivi karibuni.
Only in tanzania uyo baraka mziki kaanza jana tu eti zamani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inamana hamtaki kuamini kwamba kiba alikuwa na lebo kuanzia zamani?lakini alikuwa hataki kuitangaza?.
 
lebo yake ya mwanzoni miaka ya 2007 alikiba ilikuwa sharobaro entertainment chini ya studio ya g.record then akahama miaka ya 2010 nakuanzisha rockstar ipo mpaka leo
Dah ww jamaa unachaganya studio n label n sio kila studio ina label n unaweza kuwa n lebel ukawa hauna studio
Sharabaro records ilikuwa studio tu ya bob jr sema enzi izo Wasanii walikuwa wanashinda studio ali kiba n hakeem 5 walikuwa wAna record tu

G records ilikuwa ni studio tu ambao walikuwa n producer marehemu Roy n KGT huyo kiba alikuwa anaenda kurecord tu hakuwa mmiliki

Rockstar n ya Kiba ndivyo alivyo wadaganya
 
Kila mtu na maamuzi yake na kila mtu na chaguo lake.

lengo langu ni kumfanya huyu jamaa asipotoshe umma kwa kusema kuwa label ya Ali kiba ni mpya.
Kama unalabel alafu hujaitangaza, ujasign mtu, nadhani hiyo haiwezi kuwa label.....labda tuipe jina wadau
 
Mashabiki wa kiba bhana mna matatizo na nimegundua hata muziki wenyewe hamjui maana kwa comments ninazoziona hapa hata huyo msanii wenu akiangalia mnavyocomment atajisikia aibu kama watu wanaomsupport wana akili ndogo ya muziki namna hii.
Label ni biashara ambayo ufanisi wake unaendana na kujitangaza sasa kama hujitangazi utafanyaje biashara halafu hebu tofautisheni Kati ya show off na kujitangaza!
Kweli kushindana na watu wasiojua raha sana hata diamond alisema teh teh teh
 
lebo yake ya mwanzoni miaka ya 2007 alikiba ilikuwa sharobaro entertainment chini ya studio ya g.record then akahama miaka ya 2010 nakuanzisha rockstar ipo mpaka leo
ofisi yake ipo wapi
 
Ww acha kumfanamisha kiba na,wamuka mazwa kiba,sio wakusainishwa lable uchwara ww
 
Back
Top Bottom