PostGE2025 Baraka Chacha, aliyeshtakiwa kwa kesi ya uhaini aachiwa leo, na sasa yuko nyumbani kwao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Taarifa zilizotufikia hivi punde (leo, Jumatano Desemba 24.2025) zinaeleza kuwa Baraka Chacha aliyekuwa gerezani akishtakiwa kwa kesi ya uhaini amechiwa, na sasa yuko nyumbani kwao Buza Kwa Mama Kibonge, Mtaa wa Mashine ya Maji, Dar es Salaam

Jambo TV imezungumza kwa njia ya simu na Baba mzazi wa Baraka ambapo katika maelezo yake amesema alipigiwa simu ya ghafla leo na mtu ambaye hakumtambua mara moja, lakini alielezwa kuwa afike kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kumchukua mtoto wake kwani ameachiwa, na kwamba baada ya kupokea simu hiyo alifika mara moja Mahakamani hapo, na hadi anaongea nasi tayari Baraka alikuwa ameshafika nyumbani

Ikumbukwe kuwa, Baraka Chacha ni Kaka wa Johannes Protace, binti ambaye taarifa zake siku za karibuni zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonesha akilia kwa uchungu kutokana na kaka yake ambaye ndiye tegemezi kwa familia kuendelea kusota gerezani huku familia ikiendelea kuzongwa na matatizo lukuki, ikiwemo yeye mwenyewe kusitisha masomo yake ya Chuo kutokana na sababu za kiuchumi,

Kuachiwa leo.png
 
View attachment 3520068
Samia nakuhakikishia kuwa haya yote utayalipa, mark my words.
 
Dua la kuku ....

Yalishawahi kutokea Zanzibar na viongozi waliohusika hawakuhukumiwa
Ya Zanzibar wanayajua wao hayanihusu, niko busy na haya ya machogo.
Mpaka dakika hii kalinyekalinye mbuzi mkwekwesu Minyonyo hatoki hadi iwe dharura, hii tunaiita Chama na Mogela.
 
Back
Top Bottom