digalangosha
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 1,572
- 2,286
Mkuu samahani lakini si ana haki kikatiba na havunji sharia ???Bwege kweli huyo..mapenzi ya ukubwani tabu sana
Saikolojia Ya Mapenzi Inataka Wapenzi Wawe Wanafanana Hata DiniKama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba nimtakie kijana wenu katika safari yake mpya ya kiimani.....hopefully sasa lazima hawe kama diamond
Mapenzi ni kitu ingine..
View attachment 811384
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba nimtakie kijana wenu katika safari yake mpya ya kiimani.....hopefully sasa lazima hawe kama diamond
Mapenzi ni kitu ingine..
View attachment 811384
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka hatariBaraka.. amekuwa Bakari