Baraka da prince abadili dini na kuwa muislam

digalangosha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
1,572
Reaction score
2,286
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba nimtakie kijana wenu katika safari yake mpya ya kiimani.....hopefully sasa lazima hawe kama diamond

Mapenzi ni kitu ingine..
8be7cad578230a0ab789f44829b7bebe-1.jpg
 
Sometimes Usupastaa Ni Kituko. Sasa Amebadili Dini Ili Aweze Kuoa Wake Wengi Kama Yule Anayevuma Ambaye Huo Kila Mrembo Anayemtaka?
 
Sometimes Usupastaa Ni Kituko. Sasa Amebadili Dini Ili Aweze Kuoa Wake Wengi Kama Yule Anayevuma Ambaye Huo Kila Mrembo Anayemtaka?
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba nimtakie kijana wenu katika safari yake mpya ya kiimani.....hopefully sasa lazima hawe kama diamond

Mapenzi ni kitu ingine..
View attachment 811384

Kafirisika kimawazo, huyu kama angekuwa anajuwa ukweli wa hizi dini wala asingejichanganya…..huu ndiyo mwanzo wa kupotoka na kuanza kuokota makopo huku akijicheka.
 
Back
Top Bottom