Baraka da prince abadili dini na kuwa muislam

Baraka da prince abadili dini na kuwa muislam

Wengi wanaobadili dini ajili ya ufa au muhogo huwa sio waumini wazuri kwenye dini zao hata huko huwa wameenda matembezini
 
Mi sioni shida kila MTU ana Uhuru wa kuabudu ila tuu usibadili kwasababu ya mapenzi badili kutokana nakuamini mafundisho ya uko.... Afike salama
Mafundisho ya uislamu hiyo Bongo fleva yao ni haram, aende kwa mzee Yusuf ampe darsa.
 
itakapofika nusura ya mwenyezi mungu

utawaona watu wakiingia katika dini ya mwenyezi mungu makundi kwa makundi

basi hapo mtakase mola wako pamoja na kumsifu na kumwomba msamaha

hakika yeye ndiye apokeaye toba
Huyu Allah anaruhusu Bongo fleva?
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba nimtakie kijana wenu katika safari yake mpya ya kiimani.....hopefully sasa lazima hawe kama diamond

Mapenzi ni kitu ingine..
View attachment 811384
Mwenzake sasa hivi anavaa kikuku,japo sie mashabiki wake tunatetea tunasema hata CB kavaa so hatuiti kikuku tena tunaita vito ya thamani😉
 
Yan mdu unabadili din kisa mwanamke
Huuu utumwa Bado upo Africa kumbe
 
Back
Top Bottom