Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Imani ni swala la mtu binafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106]Mi sioni shida kila MTU ana Uhuru wa kuabudu ila tuu usibadili kwasababu ya mapenzi badili kutokana nakuamini mafundisho ya uko.... Afike salama
mcheza mielekaNdio nani huyo baraka da Prince?
Kula like [emoji736]Wengi wanaobadili dini ajili ya ufa au muhogo huwa sio waumini wazuri kwenye dini zao hata huko huwa wameenda matembezini
Mafundisho ya uislamu hiyo Bongo fleva yao ni haram, aende kwa mzee Yusuf ampe darsa.Mi sioni shida kila MTU ana Uhuru wa kuabudu ila tuu usibadili kwasababu ya mapenzi badili kutokana nakuamini mafundisho ya uko.... Afike salama
Yani Afande sele ndio reference yako kwamba dini tumeletewa? Hujasoma elimu ya msingi walau mpaka darasa la nne ukajuwa maana ya Wamisionari na traders?Afande Sele - dini tumeletewa
Huyu Allah anaruhusu Bongo fleva?itakapofika nusura ya mwenyezi mungu
utawaona watu wakiingia katika dini ya mwenyezi mungu makundi kwa makundi
basi hapo mtakase mola wako pamoja na kumsifu na kumwomba msamaha
hakika yeye ndiye apokeaye toba
Mwenzake sasa hivi anavaa kikuku,japo sie mashabiki wake tunatetea tunasema hata CB kavaa so hatuiti kikuku tena tunaita vito ya thamani😉Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba nimtakie kijana wenu katika safari yake mpya ya kiimani.....hopefully sasa lazima hawe kama diamond
Mapenzi ni kitu ingine..
View attachment 811384
Uchafu ni nini? Fafanuwa.Karibu sana mgeni..
Ila huku uchafu kwetu ni mwiko
Yaan matendo yote mabaya yasimpendeza muumba wetu (Allah)Uchafu ni nini? Fafanuwa.
Angemuuliza nuu mziwanda yaliyomsibuKafirisika kimawazo, huyu kama angekuwa anajuwa ukweli wa hizi dini wala asingejichanganya…..huu ndiyo mwanzo wa kupotoka na kuanza kuokota makopo huku akijicheka.
Dini yetu ni ipi?Dini hizi sio zetu waafrika zilikuja tu!turudie dini yetu
sio " kwa" hao",.malaya wa mjini"" ataangukia"" pua "" soonSaikolojia Ya Mapenzi Inataka Wapenzi Wawe Wanafanana Hata Dini