Nikifa nichomwe Moto - Afande SeleAfande Sele - dini tumeletewa
Dini zetu ni zipi?Dini hizi sio zetu waafrika zilikuja tu!turudie dini yetu
HuhuhuKweli nimeamini Papa ina nguvu kuliko bulldozer
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba nimtakie kijana wenu katika safari yake mpya ya kiimani.....hopefully sasa lazima hawe kama diamond
Mapenzi ni kitu ingine..
View attachment 811384
yule mwarabu kamteka huyo asijitetee huyoKama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba nimtakie kijana wenu katika safari yake mpya ya kiimani.....hopefully sasa lazima hawe kama diamond
Mapenzi ni kitu ingine..
View attachment 811384
Anaabudu juaNikifa nichomwe Moto - Afande Sele
Mungu hana dini mkuuitakapofika nusura ya mwenyezi mungu
utawaona watu wakiingia katika dini ya mwenyezi mungu makundi kwa makundi
basi hapo mtakase mola wako pamoja na kumsifu na kumwomba msamaha
hakika yeye ndiye apokeaye toba
mkuu unatuumiza mbavuVyuma vimekaza mpaka watu wanakimbia dini zao
mkuu unatuumiza mbavu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sawa akibadili jinsia pia aseme.