Baraka da prince abadili dini na kuwa muislam

Baraka da prince abadili dini na kuwa muislam

itakapofika nusura ya mwenyezi mungu

utawaona watu wakiingia katika dini ya mwenyezi mungu makundi kwa makundi

basi hapo mtakase mola wako pamoja na kumsifu na kumwomba msamaha

hakika yeye ndiye apokeaye toba
 
Mungu hana dini mkuu
 
Ukiona mwanaume amebadili dini kwa ajiri ya papuchi ,maana yake anaheshimu papuchi kuliko mungu hafai kuliko mchawi,Japokuwa yawezekana amehubiliwa na with rational mind akaamua (ofcoz haya mambo haya hayataki hasira) ,all the best in his path to right.
 
Back
Top Bottom