Baraka da prince aendelea kudukuliwa na viewers uko you tube.

Baraka da prince aendelea kudukuliwa na viewers uko you tube.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Baraka da prince katoa ngoma iitwayo "Nipe nguvu" ni ngoma Kali ila cha ajabu viewers wake uko you tube wanapanda na kushuka.
Ebu msome fuatilia habari hii moja ya shabiki zake anavyosema hapa chini.
9fc7558d29c1b4d3133ea50ec772c9f3.jpg

Kiukweli hiki kitu sio sawa kumchezea boss wangu unajua katika hii ngoma kaamua atulie tu ila Mimi nimeamua niseme ukiangalia saa za hizo screenshot utaamini kuna mchezo anafanywa ambao sio nzuri unaweza kusema baraka da prince ni mkorofi lakini Hanna screenshot hizi Mimi ndo nimepiga sijapewa na mtu screenshot ya kwanza nimepiga saa 15:21 ina viewers 12684
617f58256a98c150bcbd663546e4dd5a.jpg

halafu nyingine nimepiga saa 15:23 ina viewers 12681
e29aa75698cf4f24090385ab75809ac6.jpg

Unaweza kujiuliza kwa dakika mbili viewers wawili wamepotea na kuna time inaweza kusimama hata viewers hawapandi ndani ya dakika hata kumi.
SEMA NINI MUNGU TUPE NGUVU.
 
Mnatafuta kiki nyinyi,we ni dizaini ya mashabili wa kiduku mnataka huruma za mashabiki hamfanyi kazi,ninyi mdo mnampatia kiba sifa za kijinga mpaka anaishi nyumba ya kupanga mpaka leo[emoji1] [emoji1]
 
Duuuhh kununua viewers umewaadhiri leo
 
Aisee itakuwa ni wewe Baraka unatafuta viewers
 
Mbona hiyo hiyo saa mmeikata ili tujiridhishe na sisi bila mwambie kiburi kinamponzaa
 
Atakuwa Diamond tu huyo anaiba viewers wa wenzie.
 
hao viewers wanasaidia nini?
au ukiwa na viewers unalipwa kwa kila kichwa?
 
Baraka da prince katoa ngoma iitwayo "Nipe nguvu" ni ngoma Kali ila cha ajabu viewers wake uko you tube wanapanda na kushuka.
Ebu msome fuatilia habari hii moja ya shabiki zake anavyosema hapa chini.
9fc7558d29c1b4d3133ea50ec772c9f3.jpg

Kiukweli hiki kitu sio sawa kumchezea boss wangu unajua katika hii ngoma kaamua atulie tu ila Mimi nimeamua niseme ukiangalia saa za hizo screenshot utaamini kuna mchezo anafanywa ambao sio nzuri unaweza kusema baraka da prince ni mkorofi lakini Hanna screenshot hizi Mimi ndo nimepiga sijapewa na mtu screenshot ya kwanza nimepiga saa 15:21 ina viewers 12684
617f58256a98c150bcbd663546e4dd5a.jpg

halafu nyingine nimepiga saa 15:23 ina viewers 12681
e29aa75698cf4f24090385ab75809ac6.jpg

Unaweza kujiuliza kwa dakika mbili viewers wawili wamepotea na kuna time inaweza kusimama hata viewers hawapandi ndani ya dakika hata kumi.
SEMA NINI MUNGU TUPE NGUVU.
Tutadhibitishaje kama hizo screenshots ulipiga kwa siku moja? Hiyo 15:23 na 15:21, je kama ni za siku mbili tofauti yaani 15:23 ni ya jana na 15:21 ni ya leo tutajuaje?
 
Huu ni mtego, anataka kila mtu atakae sikia huu upuuzi akimbilia youtube kwenda kuhakikisha kama kwele hizo, view zinaibiwa au zinapanda na kushushuka...
Ambapo automatically mtaongeza hizo views bila ridhaa yenu.....
 
Ali Kiba ana roho mbaya sanaa... Sana sanaaa..

Ndio maana hafanikiwi.

Hivi anashindwa kujifunza kwa Diamond.
 
Back
Top Bottom