Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Shikamoo mashana JrNdio 15 years in marriage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo mashana JrNdio 15 years in marriage
huwa naheshimu post zako zenye busara mkuuKwa jicho la kiutu uzima bado nashindwa kuiona taswira halisi ya ndoa kwenye nyuso za vijana hao.....maana nina uhakika wameshaonjana hata kabla ya kufikiria kuoana na hapo ndipo ilipoanza kupotea taswira ya ndoa na kuwa na sura za wazinzi wanaotaka kuuweka hadharani uzinifu wao.....
Siku hizi ndoa ni tukio la kumleta karibu mtu atakayekupa huduma ya ngono....huwa naheshimu post zako zenye busara mkuu
muoaji hapo hamna....,ukiona muoaji ananyoa viduku till the time,hamna kitu
ni mihemko2 na kutaka kuzdisha umaarufu,.kuvaa modol+hereni na umaarufu hiyo ndoa haitotokea na hata kufika stage ya kuishi ktk ndoa,..wote maarufu na kila mmoja atajiona yuko juu ya mwenzie so hapo ndo vurugu ztapozidi kukua,.
hao watoto akili zao hazijakomaa,.
1.muolewaji hawezi kushinda hadharani na kupiga picha akiwa mapaja na sehemu za sir za mwili kuwa nje
2.muoaji aliyekomaa hawez kuwa na maisha ya kihuni
3.hamna mzaz ataekubali mwanae ajiingize kwenye shimo refu la ajabu kwa kuoa binti ambaye akili zake hazijakomaa
kwasisi wafuasi wa YESU Huwa tunajua fika kuwa mke bora na mwenye busara Bwana humpa mtu,..
sasa ukiona mke anapatikana kisa fedha/mali/umaarufu jua haitofika mbali hiyo ndoa..
swali jiulize je huyo msanii wenu nani sijui;asingekuwa maarufu angempata huyo binti?????
sasa kma hivyo je umaarufu/pesa zikiisha ataendelea kuwa nae.......tudumu ktk misingi ya kumshirikisha MUNGU ktk maswala yetu yoteee tutafanikiwa
KIZAZI CHA NYOKASiku hizi ndoa ni tukio la kumleta karibu mtu atakayekupa huduma ya ngono....
Hao wawili tu unaona hatari??dem mr blue kalikongaaaa weeee kaliacha diamond akaligongaaa weee akaliachaa daaa mwanaume unaenda kuoa kweliii iiii
Haina mita mkuu.dem mr blue kalikongaaaa weeee kaliacha diamond akaligongaaa weee akaliachaa daaa mwanaume unaenda kuoa kweliii iiii
Hahaha kivipi aisee? Kama naoanisha story vile.......Mzee wa zipu mbovu
hahahahahhahahhahahahah, we jamaa umeniua sana mbavuDada amekunywa maji mengi Sana, sema huyu mjomba labda apige jagi kama sita per day ndio anaweza kuonekana japo meno.
Sasa jamaa wote wamepita hapo kuna kujali afya kweli?Mkuu mr blue ndo alimtoa bikra..
Dimond kapiga pia...Madee pia.
Jamaa Kama kweli anataka kuoa amtazame Kwa jicho la 3..
Mtoto ana mapepe flani hivi.
Hata kiumri bado ni watoto kabisa.Kwa jicho la kiutu uzima bado nashindwa kuiona taswira halisi ya ndoa kwenye nyuso za vijana hao.....maana nina uhakika wameshaonjana hata kabla ya kufikiria kuoana na hapo ndipo ilipoanza kupotea taswira ya ndoa na kuwa na sura za wazinzi wanaotaka kuuweka hadharani uzinifu wao.....