Baraka da Prince amtambulisha Naj nyumbani

Ndoa inahitaji Upendo, Uvumilivu, Masikizano na kumtanguliza Mungu katika kila jambo, bila ya woga wa Mungu ndoa haiwezi dumu. Ni kweli ndoa unaweza fananisha na shimo na ndioa maana mnapoozeshwa kuna neon UVUMILIVU LAZIMA MSISITIZIWE NALO, Si raha pekee kwenye ndoa kuna na karaha, Muhimu ni kumtanguliza Mungu na kuwa na woga na Mungu, na pia mara nyingi tafuta mwenza mwenye woga na Mungu basi mtakwenda sawa, kama umepata jamaa hata haamini kama kuna Mungu huyo ni hasara mana hana anachoogopa wala kuhofia, huyo hata kukuua na kukufukia anaweza.
 
Kwa jicho la kiutu uzima bado nashindwa kuiona taswira halisi ya ndoa kwenye nyuso za vijana hao.....maana nina uhakika wameshaonjana hata kabla ya kufikiria kuoana na hapo ndipo ilipoanza kupotea taswira ya ndoa na kuwa na sura za wazinzi wanaotaka kuuweka hadharani uzinifu wao.....
huwa naheshimu post zako zenye busara mkuu
muoaji hapo hamna....,ukiona muoaji ananyoa viduku till the time,hamna kitu
ni mihemko2 na kutaka kuzdisha umaarufu,.kuvaa modol+hereni na umaarufu hiyo ndoa haitotokea na hata kufika stage ya kuishi ktk ndoa,..wote maarufu na kila mmoja atajiona yuko juu ya mwenzie so hapo ndo vurugu ztapozidi kukua,.
hao watoto akili zao hazijakomaa,.
1.muolewaji hawezi kushinda hadharani na kupiga picha akiwa mapaja na sehemu za sir za mwili kuwa nje
2.muoaji aliyekomaa hawez kuwa na maisha ya kihuni
3.hamna mzaz ataekubali mwanae ajiingize kwenye shimo refu la ajabu kwa kuoa binti ambaye akili zake hazijakomaa
kwasisi waKRISTO Huwa tunajua fika kuwa mke bora na mwenye busara Bwana humpa mtu,..
sasa ukiona mke anapatikana kisa fedha/mali/umaarufu jua haitofika mbali hiyo ndoa..
swali jiulize je huyo msanii wenu nani sijui;asingekuwa maarufu angempata huyo binti?????
sasa kma hivyo je umaarufu/pesa zikiisha ataendelea kuwa nae.......tudumu ktk misingi ya kumshirikisha MUNGU ktk maswala yetu yoteee tutafanikiwa
 
dem mr blue kalikongaaaa weeee kaliacha diamond akaligongaaa weee akaliachaa daaa mwanaume unaenda kuoa kweliii iiii
 
huwa naheshimu post zako zenye busara mkuu
muoaji hapo hamna....,ukiona muoaji ananyoa viduku till the time,hamna kitu
ni mihemko2 na kutaka kuzdisha umaarufu,.kuvaa modol+hereni na umaarufu hiyo ndoa haitotokea na hata kufika stage ya kuishi ktk ndoa,..wote maarufu na kila mmoja atajiona yuko juu ya mwenzie so hapo ndo vurugu ztapozidi kukua,.
hao watoto akili zao hazijakomaa,.
1.muolewaji hawezi kushinda hadharani na kupiga picha akiwa mapaja na sehemu za sir za mwili kuwa nje
2.muoaji aliyekomaa hawez kuwa na maisha ya kihuni
3.hamna mzaz ataekubali mwanae ajiingize kwenye shimo refu la ajabu kwa kuoa binti ambaye akili zake hazijakomaa
kwasisi wafuasi wa YESU Huwa tunajua fika kuwa mke bora na mwenye busara Bwana humpa mtu,..
sasa ukiona mke anapatikana kisa fedha/mali/umaarufu jua haitofika mbali hiyo ndoa..
swali jiulize je huyo msanii wenu nani sijui;asingekuwa maarufu angempata huyo binti?????
sasa kma hivyo je umaarufu/pesa zikiisha ataendelea kuwa nae.......tudumu ktk misingi ya kumshirikisha MUNGU ktk maswala yetu yoteee tutafanikiwa
Siku hizi ndoa ni tukio la kumleta karibu mtu atakayekupa huduma ya ngono....
 
dem mr blue kalikongaaaa weeee kaliacha diamond akaligongaaa weee akaliachaa daaa mwanaume unaenda kuoa kweliii iiii
Hao wawili tu unaona hatari??
 
Mbona Kama Kiki ya kutoa wimbo hapa....Ngoja tuone.
 
Kwa jicho la kiutu uzima bado nashindwa kuiona taswira halisi ya ndoa kwenye nyuso za vijana hao.....maana nina uhakika wameshaonjana hata kabla ya kufikiria kuoana na hapo ndipo ilipoanza kupotea taswira ya ndoa na kuwa na sura za wazinzi wanaotaka kuuweka hadharani uzinifu wao.....
Hata kiumri bado ni watoto kabisa.
 
Mungu ambariki na awalinde wote na maswahsibu ya hii dunia wasiwasi wangu ni umri wa huyo dogo sidhani kama ni sahihi kuona kwani anapaswa kujsifunza na kukomaza kichwa. ana umri gani kwani? ana 20 kweli??
 
Back
Top Bottom