Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo sio msukuma ni mjaruo yaani MRUOPale tu alipokuwa anahojiwa EATV kuhusu nyumba yake halafu yeye macho kodo kwa yule mpenzi wake huku akimshika shika
Nikaamini kweli binti mweupe kwa msukuma ni zaidi ya dhahabu.
Dogo ana kaushamba ka usukumani bado.
Kwani keshawahi kuwatukana mashabiki wake?Baraka atapoteza mashabiki wengi sana asipokua makini, ana tatizo kubwa sana la kishindwa kujiamini anaona kama anadharauliwa na watu hivyo anaishia kupaniki, Tatizo hajiamini
Katika umaarufu kuna mambo ya muhimu kuzingatia, kujibu mambo ambayo ni yalazima, na yasiyo na ulazima unaachana nayo, namna ya kujibu skendo, hali ya uvumilivu maana kisemwa ni lazima, kwa mtu kama Baraka ni rahisi sana kuchafuliwa kwasababu anatabia ya kujibizana ambayo inamshusha hadhi yake.Kwani keshawahi kuwatukana mashabiki wake?
Mi nadhani wanaotukanwa wanastahili pia !
Kumbe ni mkimbizi?Ni mjaluo jamani.
Ana ushamba wa umaarufu, atapotea mapema sana huyu.kwa kua ni msukuma wala sishangai,hovyo sana hilo toto
Ninakupinga kwa % zote .... ni vipi watu flani wachukue mtazamo wa jamii nzima? ....ukiangalia namna wasanii wanavyo chukulia ni poa sana sasa sio kila mtu anapenda kutaniwa watu wanaotokea mikoa ya mara sio wakutaniwa kila jambo uchukulia serious
nmeipenda aseeeMnaulizana makabila mnataka mkatambike? (JK)
SijasemaKumbe ni mkimbizi?