Mpk wa kina sudi wakakimbia pale aliposema naji n cha woteeMi nimeangalia Clouds Tv jana (ijumaa) kipindi cha weekend chart show (shilawadu) kuna ndugu yake katoa ya moyoni! Kamnanga sana jamaa kuwa ana roho mbaya, mchoyo, hana brain
Sasa ulitaka men mwenzio awe mrembochalii mweusi mno
Sasa ulitaka men mwenzio awe mrembo
Nlicheka sanaMpk wa kina sudi wakakimbia pale aliposema naji n cha wotee
Pia ameandika hizi pia ALMASI YA MO MUSIC BASI NENDA YA MO MUSIC alafu na hiyo SIACHANI NAWE YA BARAKAH DA PRINCE source [AUDIO:NIMEWATUNGIA NYIMBO MO MUSIC NA BARAKAH DA PRINCE-GOODLUCK GOZBERT. – UncleJimmyTZ] is good,have a look at it! AUDIO:NIMEWATUNGIA NYIMBO MO MUSIC NA BARAKAH DA PRINCE-GOODLUCK GOZBERT.Moyo mashine si imeandikwa na Goodluck Gosbert
Ngoja siku amtukane sikopioniKila nikipita mitandaon nakutana na
Baraka kamtukana LINEX
Baraka kamtukana BLUE
Baraka kamtukana Stani bakora
Baraka kamtukana msami
Si mkachape Fimbo? Kila siku kanatukana mnakaangalia tuuuuu why?
Aisee... huyu Goodluck kipaji kwelikweli...Pia ameandika hizi pia ALMASI YA MO MUSIC BASI NENDA YA MO MUSIC alafu na hiyo SIACHANI NAWE YA BARAKAH DA PRINCE source [AUDIO:NIMEWATUNGIA NYIMBO MO MUSIC NA BARAKAH DA PRINCE-GOODLUCK GOZBERT. – UncleJimmyTZ] is good,have a look at it! AUDIO:NIMEWATUNGIA NYIMBO MO MUSIC NA BARAKAH DA PRINCE-GOODLUCK GOZBERT.
Omeraa kadata kwa kitu whitedent anataka kubadili rangi ya ukoo waoNi mjaluo
Hahaha...nawe ka unataka kubadili nione mimi[emoji276]Omeraa kadata kwa kitu whitedent anataka kubadili rangi ya ukoo wao
Thanks brod. Nilikuwa nafahamu kama kawatungia baadhi ya wasanii as Goodluck, ila hilo jina la Lollipop ndo sikuwa nalifahamuPia ameandika hizi pia ALMASI YA MO MUSIC BASI NENDA YA MO MUSIC alafu na hiyo SIACHANI NAWE YA BARAKAH DA PRINCE source [AUDIO:NIMEWATUNGIA NYIMBO MO MUSIC NA BARAKAH DA PRINCE-GOODLUCK GOZBERT. – UncleJimmyTZ] is good,have a look at it! AUDIO:NIMEWATUNGIA NYIMBO MO MUSIC NA BARAKAH DA PRINCE-GOODLUCK GOZBERT.
Ile nyumba inayojengwa hajui ni ya nani,,,.. yani kuna watu ni mazwazwa. Huyu atafukuzwa arudi geita ka mwizi.Mi huyu dogo nilimchukia na kumjua ni limbukeni sku ile alivyo ulizwa kama anakodisha magar, kasema hapana yote yake, akaulizwa una magar mangap akasema hajui idadi, ndo nkamuona bonge ya kinabo