Baraka da prince amtukana Msami

Baraka da prince amtukana Msami

ngosha uyo jaman , mwachen atukane, sababu alipokuwa anatoka kwao kuja dar, aliambiwa ili aonekane mjanja ni lazima awe na izo style
 
tatizo la hawa madogo wakishatoa vinyimbo viwili tu vikipigwa hapo mawingu wanaona km wameshamaliza kila kitu.....shida yao kubwa ni elimu elimu elimu.
 
Ninachokumbuka kuhusu Baraka, ilinichukua zaidi ya mwaka kufahamu who's Baraka! Yaani hata aliposhinda Msanii Chipukizi KTMA, bado nilikuwa simfahamu! Na hata nilipokuja kumfahamu, nikajiambia "that's why niliona taabu hata kumfahaamu"
 
Mi huyu dogo nilimchukia na kumjua ni limbukeni sku ile alivyo ulizwa kama anakodisha magar, kasema hapana yote yake, akaulizwa una magar mangap akasema hajui idadi, ndo nkamuona bonge ya kinabo
Ile nyumba inayojengwa hajui ni ya nani,,,.. yani kuna watu ni mazwazwa. Huyu atafukuzwa arudi geita ka mwizi.
 
Back
Top Bottom