Baraka da prince amtukana Msami

Uyo msami baby nae alichofanya sio poa kwa mwenzie....utamwambiaje MVULANA mwezio maneno kama hayo kwa gelo frend wake
Maselebriti WAVULANA ndo walivyo
 
Hyo ni tabia yake tu si kusema makuzi ndo sbb ya yy kuwa ivo, mbn wengi tu wamekulia maeneo hay lkn hawan tabia ka hzo
 
Mbona Baraka ni msanii mzuri tu jamani ila vitendo vyake labda ndo sio poa..ila kwa ishu kama hiyo uyo msamiati baby nae amefanya jambo la kishamba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…