Baraka da prince amtukana Msami

Kila nikipita mitandaon nakutana na

Baraka kamtukana LINEX
Baraka kamtukana BLUE
Baraka kamtukana Stani bakora
Baraka kamtukana msami

Si mkachape Fimbo? Kila siku kanatukana mnakaangalia tuuuuu why?
Sasa aendelee endeee mwisho wa siku atamtukana mkuu wa kaya, hapo ndio ataijua june july
 
Huu ukabila umetokea wapi? Eti mtu akifanya madudu watu wanaanza kuuliza kabila lake. Tabia hazina kabila, acheni kukariri, Hivi Adolf Hitler alikuwa kabila gani? Je, Benito Mussolin? Je, Idd Amin. Kila mtu anazaliwa na hulka yake, tabia anajifunza kutokana na mazingira aliyokulia regardless ya kabila lake.
 
Made in
 
Waambie asee unaweza kuwa mchaga masikini ,au muhaya aliyekataa shule,au mkurya bwabwa,msukuma mjanja tabia anatengenezwa na mazingira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…