Baraka Da Prince aonesha nyumba yake

Infact anavyoongea unajua kweli sio nyumba yake.
 
Hiyu kijana kuitwa mweusi sana, kutukanana na wemgine ndio ameamua kuonyesha haya...!!!! OK

Nimependa juu ya mke wake kumshauri ya kujiendeleza...vizuri
 
Yaani single moja tu, hakuna unga hapa kweli? Kazi zake za kizushi zinasimamiwa na Clouds au? Kama kuna mkono wa clouds hapa basi najuwa ni nini kilicho muwezesha kujenge hiyo nyumba.
 
Hii atakuwa kanunua,mbona ina style ya zaman katika paa,sku hz ni steep slope
 
Safi hongera zake kijana mjengo uko poa sasa inabidi afanye na michakato akaoe hako kamzungu kako vizuri!
 
Kwani wameona maanaanamuita wife ila katika maisha mwanaume ukiwa na mwanamke anaejielewa basi hakika mtakua namafanikio kibao maishani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…