babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Alie mpaulia na kumdizainia umeme Mungu anamuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaaah madafu hizoDemu ndo ana Hela
Mkuu huyo ni Mjaluo sio NgoshaHongera msukuma
punguza jazba huyu mbona anatoka huko huko kwenu MwanzaKwani kujenga lazima uweke kwenye social media? Ndio maana wanaume wa DSM wanadharaulika kila kitu mtandaoni
Lakini ni msanii huyo... Msanii yake public.Kwani kujenga lazima uweke kwenye social media? Ndio maana wanaume wa DSM wanadharaulika kila kitu mtandaoni
Hao ni wasanii huwezi kujuwa ni muda gani huwa wapo kwenye maigizo yao na muda gani wapo kwenye maisha halisi.Ase, yani kajenga nyumba na girlfriend? Mke tu watu wanaogopa