Baraka Da Prince aonesha nyumba yake

Baraka Da Prince aonesha nyumba yake

Huwelewe-Huelewi,Nikuwache-Nikuache, mpaka hapa utakuwa umetambua nani si mzima..mana shule mnaenda kusoma ujinga
Hahahah
Nikuwache ni neno linalotokana na mzizi WACHA ambalo ni neno fasaha la kiswahili. Rudi shule.

"Huwelewe" hiyo ni typing error [emoji4]
tatizo ni wewe ndugu yangu unakandia kwa kucomment juu ya hoja ambazo hazijazungumzwa na watu.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom